Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakuu naomba kujua kuhusu biashara ya mkaa wa kutengeneza briketi, kama kuna mtu anajua soko na bei.
0 Reactions
Replies
Views
Naomba mnisaidie kitaalamu mti wa miaka kumi wa mbao unaweza kutoa mbao ngapi za 1×8 na unakuwa na kipenyo kiasi gani kwa vipimo
0 Reactions
12 Replies
5K Views
1.Kwa wadau waliopo kyela sasa hivi naomba kujua bei ya SUKARI YA MALAWI kwa kg(iliyo vuka daraja) 2.Kwa wadau walioko SINGIDA na MAKAMBAKO sasa hivi, naomba kujua bei ya mafuta ya alizet...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Halima Mdee kuendelea kusota Rumande Mpaka siku ya Jumatatu Inavyosemekana Halima Mdee kuendelea kusota rumande mpaka siku ya Jumatatu. Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam Halima Mdee...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani wana jf wazima? Vipi shughuli za kujenga taifa, Samahani naomba kufahamu kwa wenzangu wenye upeo wa kibiashara, kwa jinsi uchumi ulipo sasa ni biashara gan? Naweza fanya kwa shilingi laki...
0 Reactions
Replies
Views
Mabilioni na mabilioni ya fedha za wananchi zinaibiwa kila siku na wafanyabiashara kwa njia ya Mizani zisizoweza kupima kile kinachotakiwa kupima. Mara zote Mizani yetu inapima pungufu ya kile...
13 Reactions
39 Replies
8K Views
Tangu mwaka 2014 nilikuwa nahangaika jinsi ya kuweka subtitle za kiswahili katika movie za nje kwa sababu nilipokuwa nyumbani na wadogo zangu nilikuwa napata tabu sana kuanza kuwasimulia kila kitu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold has turned bearish, owing to the protracted bearish movement that occurred in June. Price reached a high of 1295.87 on June 6, and then began to drop...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Ni mawazo yangu tu kuhusu mpango wa Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga uchumi wa viwanda. Tangu mpango huo uanze kumekuwa na hisia na uelewa tofauti katika jamii yetu, kiasi kwamba kuna mikakati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimehangaika kutafuta kwio kwa ajili ya kesho ni balaa kuku anauzwa 15000-20000 heri ya cow meat 6000 Mmmh!
0 Reactions
22 Replies
9K Views
PIGANA NA UMASKINA NA NJAA KWA KUTUMIA SUPER GRO: ANGALIZO: Super gro hutumika sambamba na mbolea pamoja na dawa ya kuua wadudu. Super gro ni bidhaa maarufu sasa duniani na hasa nchi za Afrika...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wanajamvi nisaidien kuna mtu ananishawish aniunganishe kweny hii biashara ya mtandao mm mwenyew siielew vizur ila ananiambia unapata mafanikio haraka na malengo yake ni kwaajil ya kupunguza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Last week, a bullish breakout in this market put an end to the neutral bias on it, which was in place from June 12 to...
1 Reactions
3 Replies
457 Views
  • Redirect
Mahindi na sukari huruhusiwi kuagiza wa kutoa nje. Biashara ya mafuta huiwezi inahitaji mtaji mkubwa, madini ndio kabisa. Hali ya uchumi ilivyobana sisi wanaume hatununui nguo tena, boxa mbili...
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu TRA Tusaidie wenye namba tulipie Kodi ya jengo Tigo Pesa or M-Pesa or Max Malipo ili kutupunguzia foleni benki. Ni mawazo tu
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ninayo hisa 3500 katika CRDB na hisa 3500 ktika NMB. Leo nimepata taarifa kwenye simu ya ngu kuwa nimepata Tshs. 565,000 kama Gawio toka NMB lakini hisa hizo hizo kutoka CRDB nitapata...
7 Reactions
42 Replies
8K Views
Mengi ataja Mafisadi kwa majina
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu salaam Nyingi ziwafikie. Natumai mu wazima wa afya. Kuna fursa nimeiona huku maeneo yetu ambayo naamini itanisaidia kupata hela ya matumizi madogo madogo ila nakwamishwa na suala la Capital...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari JF members. Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kuhusu soko LA hisa, namna ya ufanyaji kazi na maelezo kuhusu hio. Hata kama kwa uchache nitashukuru. Karibuni sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom