Nahisi kutaka kutapeliwa

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,342
Kuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage napakawa naemail yake.

Mimi nikafanya kama kumtumia email yakuhitaji hiyo pikipiki nikajieleza vizuri ilikuwa tarehe 23 hiyo mwezi wapili najana tarehe 7 mwezi huu wa3 kanijibu kuwa nimejishindia pikipiki naakawa kanipa email nyingine kwaajili yakuwasiliana nahuyo anayesimamia kuzitoa hizo pikipiki nakwel hiyohiyo jana nikamtafuta huyo muhusika naleo hii ndio kanijibu kuwa ameweza kuthibitisha kuwa mimi nimiongoni mwawashindi naameniambia nitume picha yakitambulisho changu cha taifa.

Majina kamili pamoja nasehemu nilipo ila kilichonistua nikuniambia kuwa nitume nashilingi laki moja kwaajili yalogbook pamoja na plate namba, nanamba ya akaunt amenipa jina labenk ni bank of Africa

Sasa jamani nauliza hivi siwezi kupigwa hapo nakama kuna anayefahamu basi anaweza nielewesha hapo
 
Kuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage napakawa naemail yake, mimi nikafanya kama kumtumia email yakuhitaji hiyo pikipiki nikajieleza vizuri ilikuwa tarehe 23 hiyo mwezi wapili najana tarehe 7 mwezi huu wa3 kanijibu kuwa nimejishindia pikipiki naakawa kanipa email nyingine kwaajili yakuwasiliana nahuyo anayesimamia kuzitoa hizo pikipiki nakwel hiyohiyo jana nikamtafuta huyo muhusika naleo hii ndio kanijibu kuwa ameweza kuthibitisha kuwa mimi nimiongoni mwawashindi naameniambia nitume picha yakitambulisho changu chataifa, majina kamili pamoja nasehemu nilipo ila kilichonistua nikuniambia kuwa nitume nashilingi laki moja kwaajili yalogbook pamoja na plate namba, nanamba ya akaunt amenipa jina labenk ni bank of Africa

Sasa jamani nauliza hivi siwezi kupigwa hapo nakama kuna anayefahamu basi anaweza nielewesha hapo
Uzi huo uliletwa hapa na nandugu yetu Dr wansegamila
 
Kuna uzi uliletwa humu kama sikosei ilikuwa tarehe 22 February uliosema kuwa fursa yakujipatia pikipiki mpya kwaajili yakufanyia kazi kutoka kwawaziri waviwanda nauwekezaji Ndugu Charles mwijage napakawa naemail yake.

Mimi nikafanya kama kumtumia email yakuhitaji hiyo pikipiki nikajieleza vizuri ilikuwa tarehe 23 hiyo mwezi wapili najana tarehe 7 mwezi huu wa3 kanijibu kuwa nimejishindia pikipiki naakawa kanipa email nyingine kwaajili yakuwasiliana nahuyo anayesimamia kuzitoa hizo pikipiki nakwel hiyohiyo jana nikamtafuta huyo muhusika naleo hii ndio kanijibu kuwa ameweza kuthibitisha kuwa mimi nimiongoni mwawashindi naameniambia nitume picha yakitambulisho changu cha taifa.

Majina kamili pamoja nasehemu nilipo ila kilichonistua nikuniambia kuwa nitume nashilingi laki moja kwaajili yalogbook pamoja na plate namba, nanamba ya akaunt amenipa jina labenk ni bank of Africa

Sasa jamani nauliza hivi siwezi kupigwa hapo nakama kuna anayefahamu basi anaweza nielewesha hapo
Si akuelekeze ofisi ilipo uende huko na kama ni plate namba utasajiri mwenyewe
 
Pole kwa nini unapenda vya bure?,utaliwa weye...Hao jamaa usipotuma hela watakutafuta mpaka wakule
 
Tuma ela wewe uchukue bodaboda hiyo, au ulitaka upewe bure?ukitaka kula na wewe uliwe by jk.
 
Ukiona kitu kinapatikana kwa njia rahisi sana, tena kutoka kwa mtu baki, rudi nyuma mita kadhaa kisha geuka upotee....labda kama unapewa na Mjomba wako.
 
Dah aisee situmi eti kaniambia ndio nimtumie huyo yupo Kenya kiserikali nandio mweka hazina wao eti dah
mkuu umeshindwa kabisa kuitrace ile page imekaa kimamluki kabsa ukiangalia hata history yake ilivyo imekaa kitapeli yaani mwenye ile page kaja kuzinduka 2018 na lile tangazo 2017 ilikuwa haitumiwi kabsa
 
Ukiona kitu kinapatikana kwa njia rahisi sana, tena kutoka kwa mtu baki, rudi nyuma mita kadhaa kisha geuka upotee.

Mbona ikitokea zali la demu mkali hatupotei, ila tunaganda tuuuuu?
Mtu anakutana nae dakika hiyo,
Anatongoza dakika hiyo,
Anakubaliwa dakika hiyo,
Anakula mzigo dakika hiyo,
Tena bila hata kikanga
 
Mbona ikitokea zali la demu mkali hatupotei, ila tunaganda tuuuuu?
Mtu anakutana nae dakika hiyo,
Anatongoza dakika hiyo,
Anakubaliwa dakika hiyo,
Anakula mzigo dakika hiyo,
Tena bila hata kikanga
Hilo haliondoi ukweli kuwa hata risk zake zipo juu sana.

Wangapi yamewafika kwa kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom