Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wale wazoefu naomba msaada wenu, couriers ambao wako vizuri kusafirisha mizigo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hili wazo la kibiashara la kuuza samaki angali bado hai, kama wafanyavyo China, kwamba unaenda fish market unanunua samaki fresh kabisa kwenye maji...
2 Reactions
38 Replies
11K Views
Habarini wajamvi natumaini muwazima Mimi nkijana mwenye umri wamiaka 20 najishughulisha nambishe zakuuza phone accessories na vitu vingine vya electronics ninamda wamwaka mmoja tokea nianze kazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa ningependa kutanguliza salamu kwenu,naombeni msaada wenu kwa yoyote anaefahamu kwa undani kuhusu bisahara hii ya bia za jumla,Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana. -Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani. Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na Habari hapo juu,waheshimiwa shida Yangu ni moja tu kumtafuta mbia nisaidieni kujua niifanyie kazi! Idea Yangu inahusu kuanzisha mtandao wa kijamii wa kipekee!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini ndugu nina wazo la kuiboresha jamii forum ni naomba uongozi uwasiliane nani,naona nguvu ya jamii forum imeshuka nina idea nzuri sana,wazo hili nimeanza na jamii forum kabla sijawapelekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kila nikisikia nasikia fursa kubwakubwa tu. mfano mimi na kupangisha watu hotelini wapi na wapi. naombeni fursa za kilalahoi, mishentown, kijasiliamali kidogo, kiuongeajiongeaji au connections...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Naomba anaejua kuhusu bima za magar zinagharimu sh ngap, mud a gani,je zinatofautianaje na zile bima za nyumba.?
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Natumai mko poa, mnaendelea vyema kabisa na mihangauko ya kujenga viwanda kuunga mkono hoja ya mweshimiwa magu. Sasa iko hivi, juzi Kati nilipita tawi moja la equity bank Nika fungua account...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Uhakika wa umbali halisi wa maji chini ya ardhi ili kuokoa gharama ya kuchimba eneo zaidi ya moja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa letu pendwa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali Leo tuangalie na kuambiana(kuelezana)namna gani kila mmoja wetu aliefanikiwa au hajafanikiwa bado katika kufanya biashara au...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Why dont yhe government apply elimination of zeros Currently 1 usd =2300tsh After eliminating zero 1usd =230tsh Then our lowest will be 5tsh instead of 50tsh And our highest currency will be...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Habarini za jioni ndugu wanajukwaa ... Naomba kujua hii ni aina gani ya madini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Citation Utangulizi Hapa nataka kutoa summary ya mambo ya kuzingatiwa katika energy policy ya nchi, kama haya yamo kwenye policy yetu ya energy (If we have anyway) je kamati ya Bunge katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana naombeni mnisaidie ninataka kufungua kiwanda cha kati je natakiwa kusajiri wapi na wapi ? Sijapata information za kutosha juu ya usajiri na gharama zake anaefahamu tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi hawakuwa na uelewa mpana kuhusu Ujamaa na kujitegemea, wala Azimio la Arusha. Walidhani mali ya umma ni mali isiyokuwa na mwenyewe, hivyo hakuna aliyekuwa tayari kuilinda, walidhani kuwa...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Back
Top Bottom