Natafuta jina bora la kampuni

milcyphina_tz

Member
May 24, 2019
12
1
Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama kutengeneza logo itayokaa kwenye nguo ......stationary.... Bakery.....Saloon na kiwanda cha kutengeneza fresh juice .......Nasikiliza mawazo yenu ndugu zangu ili niweze kupata jina bora la kampuni litakaloniwezesha kutangaza hizo biashara kwa urahisi zaidi ...Asanteni!!!!
 
Kama ni mambo mbalimbali ambayo hayahusiani andika tu"MILCYPHINA INVESTMENT LTD"
 
Ningependa details zaidi ilikuwezesha Brand Identity itakayosimama maisha.

Nimefanikiwa kutengeneza:-
- TONSPIEL
- Snash
- NIBIRII
- Compostela Films
- Vancanv Drinks and many more...
 
kati ya yote hayo unayotaka kuyafanya umeshaanza kufanya lipi kuliko kuingia gharama ya kampuni mapema anza hata na hizo juice, stationery au bakery wakati unahesabu pesa jina litakuja tu na kampuni utaanzisha.., kama haufanyi kazi za tender au watu wanaohitaji uwe na kampuni..., kampuni ni gharama tu..
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom