Heshima yenu wakuu.
Nije moja kwa moja katika kusudi.
Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo tarehe ya jana 31/07/2019. Nilikuwa sina habari hadi leo hii nilipoikagua na kugundua...
habari wakuu, naomba kujua bank gani ambayo ina huduma ya ku finance lpo kwa kampun? yani nikipata LPO ya kutoa huduma fulan bank gank ambayo ina huduma ya kutoa kiasi flan cha pesa hata 70% ya...
Kwa mtu ambaye yupo tayari kudaka fursa hii ya kuwekeza kwenye sekta ya madini especially Dhahabu kwa njia ya kuchenjua kwa kutumia njia ya Plat
Mimi nitampa mwongozo wa kazi na upatikanaji wa...
Naomba kujuzwa, hivi yapo maduka binafsi ya kubadilisha fedha yanayofanya kazi au ndio basi tena, biashara wameachiwa mabenki? Maana huku niliko "bureau de change" niliyozoea kuiona ilifungwa kwa...
Salaaam ndugu,
Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi friji za PEPSI anijulishe wadau, nina duka langu natamani nipate zile friji za pepsi kwaajili ya kuuzia soda wakuu.
Nahitaji vijana 6 waliopo DSM wasio na ajira tuungane kufanya Car wash mjini tushapatikana 4 basi 6.
Sifa
1)utatakiwa uchange 100,000/= minimum mtaji
2)ume committed kutoa mawazo na utendaji...
Serikali ya Uingereza imesema Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za ndege kutoka nchini humo kwenda Uingereza ni fursa ya kiuchumi kwa nchi hizo mbili. Hivi Karibuni mkurugenzi mkuu...
Matumizi ndio yanayotengeneza sura ama picha nzima ya kipato chako siku zote watu wengi wanafeli sheria ndogo ndogo kama hii ya matumizi ya pesa,hakikisha matumizi yako hayazidi kipato chako...
Habari viongozi..
Mwenye details kamili juu ya namna ya kuweza kusafirisha bidhaa ndogo ndogo kama simu, laptops na mengineyo kutoka Malaysia.. ni njia gani huwa mnatumia ambayo ni Safe zaidi bila...
SABABU SITA 6 KWANINI BIASHARA NDOGO NYINGI ZINAKUFA NA NINI CHA KUFANYA KUEPUKA SABABU HIZI.
Tafiti za usimamizi wa biashara zinazoonyesha kuwa nusu ya biashara zinazoanzishwa zinakufa labla ya...
Salamu kwenu wana jamvi
Kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaika kutafuta pesa ya kutosha ili niweze kufungua biashara ambayo faida yake itakuwa inaonekana ili na mimi niweze kuongea kibosile katika...
Do you want to start any of the following 65 businesses?
Real Estate Agency - 42 pages
Sifted Maize Flour - 58pgs
Executive Barber Shop - 42pgs
Tyres Retail - New
Petrol Station (Independent) -...
Habari wakuu nimechek kwenye mfumo wa ku calculate kodi wa TRA hyundai ix35 made in Korea haipo, nimeshindwa kujua napataje Gharama zake,
Gari lenyewe hili hapa
Naomba msaada kwa wanaojua...
Wakuu habari za weekend na za jumapili..
Nahitaji mkopo wa tsh. 800,000 ni waharaka nahitaji Kwa ajili ya mambo ya biashara yangu.
Riba isiwe Kubwa Sana marejesho ndani ya mwezi mmoja tu...
Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
Wananchi wenzangu natumaini hamjambo.
Wadau wote wa BRELA natumani mko salama,
Nina changamoto na namna ya kupata huduma BRELA
Ni muda sasa nahangaikia hili swala , ukienda ofisini...
Habari Vijana wenzangu, Nimeamua kushare na nyie MAMBO 15 niliyejifunza baada ya kujikita katika uanzishaji wa biashara kwa mara kwanza katika maisha yangu mwaka jana (2018)
1: Kamwe usiombe...
Heshima kwenu wakuu!!
Mimi ni mwanafunzi jinsia ya kiume wa chuo kikuu kimojawapo kinachopatikana katika mkoa wa Morogoro,Nategemea kuingia mwaka wa tatu mwaka huu hapo October.
Kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.