Biashara ya Magodolo QFL, TANFOAM na GSM

NONGWA

Senior Member
Mar 10, 2012
142
116
Habari wana jamvi naomba msaada kwa walio na uzoefu katika biashara hii ya magodoro faida zake na biashara yake ikoje. Pia naomba kujua namna bora ya kuwa wakala katika makampuni hayo tajwa na vipi kuhusu mtaji wa kuanzia. Mi niko hapa DSM nataka kuanza hii biashara. Nitashukuru mkinipa mwanga wa hii biashara.
 
Ni uchumi wa bando mgumu au? Mbona JF kumekuwa na tabia za kichoyo sana daah na usikute mnaupita uzi hivi hivi. Haya "SEE YOU AT THE TOP"
 
Back
Top Bottom