wakuu naomba kujuwa ni hatua zipi natakiwa kufuata ili kuweza kushiriki katika maonyesho ya nanenane yaan taratibu za kupata banda nk. nianzie wapi, na kama unajua gharama zake naomba nijuze. ahsante
Wajasiriamali wafanya biashara na wachumi nishaurini kuhusu hii biashara
Nina idea ya kufanya biashara ya juice,bites,maziwa fresh,mtindi ,maji ,soda na matunda
Kodi ya frem nimeambiwa Ni 50k...
Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku...
Tanzania vyombo vya habari havijui kuripoti habari👆👆👆 hata theastafrican newspaper inavishinda. Eti mahakama kuunganishwa na mkongo wa taifa👎👎👎 badala kuchambua upanuzi wa mkongo wa taifa katika...
Hawa jamaa wametapakaa mitaa yote.
Nimejaribu kuwalinganisha na watafutaji wengine hawa wako aggressive na wanakomaa bila aibu wala kujishuku huku wakiwa na sura zilizojaa ari mpya, kasi mpya na...
Nawasalimu wote wana jf
Nina gari (hiace) ambayo nataka kuitumia kibiashara hapa jikon Dar
Naomba ushauri je?!! Naweza kuitumia katika biashara gan jijijin yenye faida atleast kusukuma haya...
Niende Moja Moja Kwa Moja kwenye hoja. Kwa Walio na uzoefu na hii kitu, gharama Zake zipoje hasa gharama za uendeshaji (operation cost)
1. Gharama za umeme (basis 1000 blocks)
2. Gharama za...
kuna simu nataka kununua aliexpress na wasafarishaji wake ni DHL na inaonekana hawa jamaa sifa yao kubwa wako faster sana. wananiambia ndani siku 15 ninakuwa nimeisha ipata simu yangu. na simu...
Let's imagine scenario,I have $60 in my pocket.Iam in a new City and i have no friends/connections.I have lots of free time and can see hundreds of people around(I'm in a city).
Now how i do get rich?
Naitwa Lisa ni mwanafunzi. Nina mawazo matatu ya biashara.
1. Kuuza huduma ya kusafishia masinki ya chooni yenye uchafu sugu pamoja na tiles.
Hasahasa kwenye bars, gesti, mashuleni na nyumba za...
Kwema wakuu.
Bila shaka mnamalizia wikiendi kwa utulivu kabisa.
Niende kwenye swali langu moja kwa moja kuwa hivi ninapo nunua/agiza body la gari bila chasis kutoka nje ya nchi kuja hapa...
Tuseme wewe ni mfanyabiashara wa kiume unauza bidhaa au huduma fulani. Unaenda ofisi fulani binafsi au taasisi ili uwin tenda au uuze bidhaa/huduma yako.
Unakutana na binti/mdada/mmama ambaye...
Habari wakuu nimekesha kutwa natafuta MAC VST za logic Bila mafanikio naombeni msaada kwa mtaalamu yoyote aliyena Link Ambazo nitaweza Kupata VST hizo kwa Free kama Wave bundle, Nexus, Contact...
Wakuu nahitaji msaada wa maelezo kwa yeyote anaejua haya makoto.
Ipo hivi nilifungua account ya CRDB bank ile ya furahaa account kwa maelezo yao, kuwa haina makato ya kila mwezi,
Nikakaa muda...
Wadau nina mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza vipuri vya magari. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana.
Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi...
Haya wanajamvi nipo mbioni kufunga mashine ya kukamua mafuta ya alizeti maeneo ya Makambako ktk mkoa mpya wa njombe, Kwa wale wanaohitaji mafuta ya alizeti na wafugaji wanaohitaji mashudu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.