Kijana, hii ndiyo siri bora kabisa ya kuwa tajiri, kafara yake haina madhara

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana.

Haoni madhara ya Juma kufulia huku yeye akiwa ni maskini. Kuwa sasa Juma hatokuwa akinunua bidhaa zake, au hatoweza kumwajiri yeye au ndugu zake. N.k

Wengi tunaamini ukimchukia Tajiri unapata faraja. Nimeona nikiandika uzi nikielezea kauwezo kadogo niliko nako na jinsi watu wanavyonishukia kama mwewe. Wengine wakitaka uthibitisho.mimi sihitaji kutoa uthibitisho ili wewe uamini.

Mimi nlianza kupenda utajiri toka kwa mzee nliona ambavyo alikuwa akitulea watoto wake wawili pasipo shida.akibadilisha magari, akinunua tulicho na alichotaka. Akifungua makampuni na kuzunguka nasi duniani.

I learned a lot. Ndipo nlianza kujiambatanisha na marafik zake baba kiasi kuweza wakati mwngine kumwakilisha.nlimwambia nitatafuta pesa zangu mwenyewe nikishindwa ndo ntarudi anipe mtaji.

Nmefanikiwa. Napata mshahara mkubwa, natumia magari ambayo si haba matumizi ya Range Rover, BMW, Merceded Benz ndizo gari ambazo mzee alikuwa ananambia za kutumia.

Nliwahi uliza mtaji wa Mil 100 tutafanya biashara gani. Watu walinishambulia sana. But binafsi nlitaka nipate mtu mwenye mawazo ambayo sasa ningekaa naye tuyafanyie kazi.watu walitukana na wengine wakaandika kwa kebehi.

Kwa mwenye akili mil 100 ni nyingi sana kwa biashara. Kwa mpumbavu atakwambia hiyo haitoshi kabisa. Sikutaka ugomvi nikaiingiza kwenye mchakato mwingine maisha yakaendelea.

ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.

Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.

Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.

Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
 
Wewe jamaa itakuwa mhaya piga uwa yani uko kote umeandika sijakuelewa ila hapa ndio nimeanzkuelewa

ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.

Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.

Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.

Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
 
Hana hela huyu sound tu. Sijaona anything strong cha kunifungua akili.

Si ungesema neno moja tu kwamba ili ufanikiwe be “ Humble “. Waraka mreeefu wa nn ??

Ili uwe tajiri lazima ujue concept moja inaitwa “ LEVERAGE “

Leverage is doing more with Less..google, read, get the concept and apply it.

Mimi nimetusua from managing my parents biz....(mwanzo mshua alikua mkoloni kweli) ila nikatafuta a way ya kutembelea capital yake bila kumtia hasara. I made a living...binafsi im not rich but im okay (reasonable)
 
Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana.

Haoni madhara ya Juma kufulia huku yeye akiwa ni maskini. Kuwa sasa Juma hatokuwa akinunua bidhaa zake, au hatowezs kumwajiri yeye au ndugu zake. N.k

Wengi tunaamini ukimchukia Tajiri unapata faraja. Nimeona nikiandika uzi nikielezea kauwezo kadogo niliko nako watu wanavyonishukia kama mwewe. Wengine wakitaka uthibitisho.mimi sihitaji kutoa uthibitisho ili wewe uamini.

Mimi nlianza kupenda utajiri toka kwa mzee nliona ambavyo alikuwa akitulea watoto wake wawili pasipo shida.akibadilisha magari, akinunua tulicho na alichotaka. Akifungua makampuni na kuzunga nasi duniani.

I learned a lot. Ndipo nlianza kujiambatanisha na marafik zake baba kiasi kuweza wakati mwngine kumwakilisha.nlimwambia nitatafuta pesa zangu mwenyewe nikishindwa ndo ntarudi anipe mtaji.

Nmefanikiwa. Napata mshahara mkubwa, natumia magari ambayo si haba matumizi ya Range Rover, BMW, Merceded Benz ndizo gari ambazo mzee alikuwa ananambia za kutumia.

Nliwahi uliza mtaji wa Mil 100 tutafanya biashara gani. Watu walinishambulia sana. But binafsi nlitaka nipate mtu mwenye mawazo ambayo sasa ngekaa naye tuyafanyie kazi.watu walitukana na wengine wakaandika kwa kebehi.

Kwa mwenye akili mil 100 ni nyingi sana kwa biashara. Kwa mpumbavu atakwambia hiyo haitoshi kabisa. Sikutaka ugomvi nikaiingiza kwenye mchakato mwingine maisha yakaendelea.

ILI UWE TAJIRI
Kafara unayotakiwa kuitoa ni moja. Ua kiburi, jeuri na ujuvi. Hivyo vitu vipo kwenye mwili mmoja ila ni viungo mbalimbali.

Usituchukie wenye vijicent. Jifunze toka kwetu. Badala ya kukaa majukwaa ya umbea na kufundishana styles za mapenzi kaa na watu wenye chakula ya Ubongo.

Jifunze kwa waliofanikiwa. Usiwachukie. Ni upumbavu kufurahi kuwa sasa bakhresa amefulia au Mengi amefulia. Huo ni wendawazimu.

Kakae miguu pa wenye mafanikio utafanikiwa. Mtoto akinawa vizuri anaweza kula na wakubwa. Trust me.
Kwa hiyo na wewe ni tajiri?
 
Hana hela huyu sound tu. Sijaona anything strong cha kunifungua akili.

Si ungesema neno moja tu kwamba ili ufanikiwe be “ Humble “. Waraka mreeefu wa nn ??

Ili uwe tajiri lazima ujue concept moja inaitwa “ LEVERAGE “

Leverage is doing more with Less..google, read, get the concept and apply it.

Mimi nimetusua from managing my parents biz....(mwanzo mshua alikua mkoloni kweli) ila nikatafuta a way ya kutembelea capital yake bila kumtia hasara. I made a living...binafsi im not rich but im okay (reasonable)
Unaonekana hunaga paparaa....
 
Aise mimi natafuta utajiri kinyama tokea 2014 natafuta sijapata , nilifyeka kiwanja mpaka sasa sijamwaga hata tofali

Ila afe simba afe chui ,ifufike mizimu ya ukoo mimi nataka pesa aise ile kinyama.

Kikubwa nipambane kwa njia za halali ,nisipo kuwa na hela nitaendelea kudharaulika sana kwenye familia .
 
Safi sana mzee baba...mie mtu anayenipa hasira za kutafta pesa ni bro angu ...dah...ila kitaeleweka tu..had dec huko..!tupambane..hela ipo..mradi iwe halali

Yaan ss hv urembo wa lipstick sijui weaving sijui makeup tupa kuleee...😤😤😤..
 
Aise mimi natafuta utajiri kinyama tokea 2014 natafuta sijapata , nilifyeka kiwanja mpaka sasa sijamwaga hata tofali

Ila afe simba afe chui ,ifufike mizimu ya ukoo mimi nataka pesa aise ile kinyama.

Kikubwa nipambane kwa njia za halali ,nisipo kuwa na hela nitaendelea kudharaulika sana kwenye familia .
Mkuu sio familia tu, ili uweze kufurahia dunia hii inahitaji uwe na pesa la sivo utakuwa unasogeza siku tu, Athari za umaskini zinachoma mithiri ya Moto wa jehenamu
 
Back
Top Bottom