Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imempongeza Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na lugha ya Kiswahili kukubalika kuwa lugha ya nne kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kichwa cha habari kinajielezea, Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya...
3 Reactions
119 Replies
30K Views
Habari ya kazi wapambanaji wenzangu Nawezaje kupata ujuzi wa kutafuta simu zilizopotea kwa anaefahamu Naomba msaada wa maelekezo maana nimeona ni fulsa nzuri ya kujitengenezea kipato katika mkoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Great thinkers! Nimekuja na swala jipya linalolenga maada kuhusu nembo ya Tbs kwa brand za wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo wabogo au level yoyote. Nauliza swali kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je wewe una fedha na hauna wazo la biashara, ila unatamani kufanya biashara? Basi, tega sikio lako la thamani. Halmashauri ya jiji la Mwanza inaenda kuondoa na kusitisha huduma ya vibasi vidogo...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Tangu tarehe 12 Agosti 2019 kuna wiki ya kuhamasisha uwekezaji mkoani Kagera inaendelea Mjini Bukoba. Ratiba, Muhtasari wa fursa na mwongozo kamili tayari vimertolewa. Naambatanisha hapa kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF Heshima Kwenu! Ninaomba MSAADA Wa Hilo.Hasa Kwa Mtu BINAFSI ama NGO.Nitashukuru pia kama kutakuwa na "Mchanganuo
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi.... Mimi ni mfanyabiashara wa biashara ya mitandao ya kifedha kama vile M-pesa,halopesa,tigo pesa na Airtel money.. Lakini nizungumzie kidogo kwenye mitandao ya...
1 Reactions
8 Replies
20K Views
Mimi ni kijana! Graduate nina umri wa miaka 30 kwa sasa, lakini sina ajira ya kunifanya niishi na familia yangu vizuri, Kwakuwa mungu amenijalia uwezo wa kuandika proposal mbali mbali katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika harakati zangu za kusaka pesa kupitia biashara ya duka la rejareja....hua napenda kujifunza vitu kutoka kwa wauzaji wengine....lakini pia hata kupitia jamii inayotuzunguka Hua napenda...
10 Reactions
19 Replies
6K Views
Baada ya miaka 16 nje ya nchi na mara ya Kwanza nimerudi Tanzania na kuona vitu vya ajabu Sana. Moja wapo no zoezi la kufungwa Maduka ya FEDHA ZA KIGENI. Hii imesababisha kupoteza muda mwingi Sana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapenda kupata ujuzi gani? Ukukwamue kiuchumi?
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Wadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au...
0 Reactions
30 Replies
28K Views
Kutokana na research yangu baadhi ya watu wanasema biashara ya uuzaji wa bondo(swim bladder/fish maw) za samaki ni ya kwanza kuliko zote na inataka mtaji kidogo. Kwa wale ambao hawafahamu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu najua kutakuwa na watu ambao wataongelea vibaya hili swala na kuwakatisha tamaa watu...lakini yote hiyo nimeshajiandaa kuyapokea Ila muhimu nachotaka nikuwafikishia ujumbe...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wakuu, Twende moja kwa moja katika wazo. Kutokana na maeneo mengi ya Tanzania kukosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na pia kuchaji simu ambao unaweza kuhamishika...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Tafadhari naomba kwa anaejua namna ya kuomba mkopo kupitia MPesa anijulishe...nimepoteza ile namba niliyokuwa naitumia .ASANTE.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari! Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikufundishe mbinu zakutumia ili uweze kutengeneza side income katika mtandao wa JF. Hii post itakuwa maalumu kwa wote wanaohitaji kutengeneza pesa...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom