DIFFENDA
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 124
- 53
Nataka kufahamu iwapo nilikopa pesa kwa dhamana ya mshahara Wangu, itakuwaje pindi nimefukuzwa kazi ama nimeacha kazi bila ya kumaliza deni lao? Jee hilo deni lao nani atalilipa pindi mshahara utakaposimamishwa? Jee mkopo wao una bima in case hukufanikiwA kuumaliza? Wadau tujadili