Msaada, nataka kufungua kampuni ya umeme

Eng Mose

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
242
322
Wana jukwaa habari,

Naomba mnishauri na pia kunielekeza namna ya kufungua kampuni ya umeme pia na ujenzi, niwe na nini, kiasi pia cha fedha, pia njia zipi za kufuata.Pia changamoto baada ya kufanikiwa ni zipi, na namna ya kupata tenda na kujitangaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom