




protein supplements ni nzuri kama utavitumia kwa kufata maelezo ya wataalamu, fika kwenye gym zinazoongozwa na wataalamu watakupima watajua dozi ya kukupa na aina ya mazoezi ya kufanya ili uweze kubalance mwili.Kama kuna mtu ana uza vidonge vya vitamin kwa wale wapiga gym wanaelewa kwa mfano kama amino nataka vidonge vyaku jaza tu 0624585115 nicheki