Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

KAMPUNI ya Geita Gold Refi nery Limited (GGR) inayomilikiwa na wawekezaji Watanzania inajenga kiwanda cha kisasa kuliko vyote Afrika Mashariki cha kusafisha dhahabu inayotoka kwa wachimbaji kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Soko limebadilika sana kulinganisha na zamani watu wengi sasa hivi wameanza kutambua umuhimu wa kjitangaza na biashara nyingi sasa zinafanya branding(Chapa), kwa ajili ya kupata nafasi katika soko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za kazi wakuu ..naomba kujuzwa taratibu za kupata mkopo wa halmashauri kwa vijana ...Sisi tayr tuna biashara ya kuni na mwenzangu ila naskia mpk mtimie watano ...Tax identification number na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wakuu Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, kwanza nikiri sijawah ku order chochote online, sasa nmejikuta nmependezwa na bidhaa zao na bei ya bidhaa zao sasa nkajarbu ku order nmefanikiwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu nina amini kupitia jamiiforum ninaweza kupata taarifa sahihi kabisa,wakuu nataka kupeleka bidhaa zangu kwenye hii minada inayofanyika katika jiji la Dar es salaam,kama kuna mdau anaweza...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jinsi ya kufanya biashara mtandaoni ukiwa nyumbani kwako. Saivi dunia ipo kiganjani unaweza kufanya chochote unachotaka. Epuka kufanya mambo yasiokuwa ya msingi kwa kutumia muda wako mwingi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wapendwa wa jamii forum,napenda kutambulisha na kuongelea hii biashara mpya ambayo imeshamiri sana mjini,na maanisha yaaji biashara ya MENDE kwa kuwa vijana wengi wamejikita katika ufugaji...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100% Wazo langu ni Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/= Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau.... Kizuri kula na nduguyo....Internationa Commercial Bank inatoa mikopo kwa ajili yako, Kampuni yako na hata staff wa hiyo kampuni kwa riba nafuuu na muda mfupi. 1. Mikopo kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za majukumu members, naomba kujua soko la korosho ambayo ni processed lipoje kwa nchi jiran ya uganda
0 Reactions
5 Replies
5K Views
nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft....imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje...anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii,bati standard za 3feet
0 Reactions
22 Replies
32K Views
Kwema wadau naomba mwenye uelewa na kampuni hii ya Alliance in global motion anambie ukweli wa hawa watu mana kuna mdada mmoja mphilipino aliniomba urafiki fb nikachat nae nikamuuliza lengo la...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Ni laptop hp probook 4530s Core i5 Ram 4gb Harddisk 500gb Processor 2.40GHz Bei 500000 Location Arusha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yapo maswali mbalimbali tukiwa tukijiuliza hali ya uchumi TANZANIA inaendaaje nazani kupitia huzi huu naamini kwamba wapo economists wengi tu ambao wanaweza kabisa kutujibu maswali yetu kushare...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Greetings everybody! Kama kawaida leo jumanne jioni nipo hapa kukupatia mbinu zitakazokusaidia kuuza na kupata profit kwenye biashara yako ya mtandaoni. Hapa nazungumzia e-commerce Store...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumaini muwazima wa afya, nimeandika uzi huu kwa dhumuni la kuwapa motisha vijana na mimi mwenyewe pia kwani katika maisha aya sasa vijana wengi wameamka wakiwa na ndoto kubwa, marengo makubwa...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Habarini wana JF... Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la...
1 Reactions
76 Replies
12K Views
Habari poleni na majukumu ya Kazi na mihangaiko ya usiku mchana.mimi Ni kijana ambaye na ndoto ya kufanya biashara ya nafaka.hususani ya kulangua mpunga vijijini na kuuza mjini. Ila sina uzoefu...
1 Reactions
64 Replies
15K Views
Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom