Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Napenda kumpongeza Kalito wa Samaki Samaki kwa ubunifu mkubwa anaouonesha kwenye biashara zake. Kuanzia mapambo, mpaka huduma. Weekend hii nilikuwa kwenye moja ya viwanja vyake pale masaki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬ ‪10.India‬ ‪9.Uholanzi‬ ‪8.Japan‬ ‪7.Switzerland‬ ‪6.China‬ ‪5.Urusi‬ ‪4.France‬ ‪3.Italy‬...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua machine ya shawarma kwa hapa dar es salaam,mwenye nayo anauza au kujua bei ya machine hiyo mpya au used na mahali wanauza ntashukuru akinipa taarifa.Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu, wengi wanasikia kuhusu AFFILIATE PROGRAM(UUZAJI WA USHIRIKA), ila wanajua ni kuuza bidhaa za wazungu online. Ukitaka kufanikiwa kirahisi kwenye hii biashara dili...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
SHIRIKA la Wakala wa Meli Tanzania (Tasac) limepiga marufuku na limeondoa tozo za ushuru wa forodha kwa mamlaka za usafirishaji wa majini zilizokuwa kero kwa huduma hiyo. Utekelezaji huo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
INFORMATION NO. 2 - Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009. - Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Hivi kwann marekani ndo inawawekea vikwazo nchi zingine zinazozingua mfano iran,kwann sio nchi zingine ndo zifanye hvyo?, au hakuna kitengo cha kimataifa cha kufanya hvyo?, je kama hao marekani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf Nlikua naomba msaada wa mtu anaejua jinsi ya kuagiza spare parts za magari toka nje mpak tz. Makato, makampuni, na hasara zake.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani kwa wakazi wa Bukoba na wageni.. hapawezi kupatikana madalali wanaoaminika wenye ofisi kwa ajili ya uuzaji wa mayai na nyama ya kuku hata
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii ya Shabiby kukata tiketi online nimeipenda sana hv mabasi mengine mnakwama wapi...hii mambo ya kuja UBUNGO na kushikwashikwa na hao wapiga debe...... Nakupa hongera Shabiby Bus...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wadau, Kama title inavyojieleza Natafuta shamba, kuanzia ekari 4, liwe maeneo ya katikati hapo kuanzia Mlandizi kuja Dar. Kuwe na maji au chanzo cha maji walau kwa umbali usiozidi kilomita...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Mambo vipi wakuu? Ni siku nyingine tena tunakutana. Leo nataka nikuonyeshe jinsi yakufahamu iwapo Online Business unayotaka kuanzisha ni sahihi au kinyume chake. Kufahamu mambo haya matano ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kuhusu mtu aliyesoma degree ya microbiology na botanical science anaweza kujiajiri vipi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu na na jamaa Nina swali kidogo naomba msadaa wenu ..Mimi nimejufunza kutengeneza simu software na hardware na sasa nipo vizuri nahitaji kufungua office ili nianze kupata kipato...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Je unahitaji Sofa nzuri na za kisasa kwa gharama nafuu kabisa? Wasiliana nami ili uweze kujipatia unachostahili Recliner sofa inafunguka unaweza kunyoosha miguuu na kulala kama kitanda. Full set...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini za jioni. Poleni na majukumu. Naomba wataalamu wanisaidie kunipa mwanga juu ya hili lililonisibu. Jioni hii nilikuwa nimeenda Kutoa pesa kwenye ATM,, baada ya kufanya transactions na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KAMPUNI 20 za ndani na nje ya nchi zimejitokeza kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya gesi asilia vya kuuza mitaani kwa jumla na rejareja kwenye vituo maalumu kama ilivyo kwa vituo vya mafuta. Kati...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom