The new Gold Planum card made with 18 carat gold

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Ni kadi mpya, unapewa ukiwa na pesa ya kutosha bank. Niki sema pesa si vi chenji ni pesa ya kweli.

Haina limits na inakubalika sehemu yeyote.

Dunia ya wenye pesa inatutenga.

1570773538541.jpeg
 
Ni kadi mpya, unapewa ukiwa na pesa ya kutosha bank. Niko sema pesa si vi chenji ni pesa ya kweli.

Haina limits na inakubalika sehemu yeyote.

Dunia ya wenye pesa inatutenga.
Bibi mpaka hizi bank zetu za kizalendo wanatoa hizo kadi?
 
kuna huu mzigo AMEX kwa afrika mashariki unatolewa na Equity Bank hatari sana

images (2).jpg
 
kuna huu mzigo AMEX kwa afrika mashariki unatolewa na Equity Bank hatari sana

View attachment 1229446
Ukikabidhiwa hii unapata na privilege ya kusubiri ndege VIP lounge ukiwa unasafiri kokote duniani.
 
Ukikabidhiwa hii unapata na privilege ya kusubiri ndege VIP lounge ukiwa unasafiri kokote duniani.
ah ah wanasema with AMEX CARD everything is possible...kuna tajiri aliomba awekewe vipepeo kwe chumba cha hotel kumsuprize mke wake ambavyo hata havipatikani hiyo nchi ah ah
 
Too much of ANYTHING is harmful.....

How much is TOO MUCH ....!!???

NOTE: There are no specific measurement for TOO MUCH...
 
kuna huu mzigo AMEX kwa afrika mashariki unatolewa na Equity Bank hatari sana

View attachment 1229446
Sina black card ninayo rangi nyengine nilikwenda duka moja huko duniani, wakati wa kulipa yule muhudumu akaomba kitambulisho(ID) nikampa. Hakuridhika akamwita bosi wake akaangalia nae hakuridhika wakavuta waya wakaongea na customer service, wakanipa niongee nao akaniuliza masuali 2 tu. Akanambia mpe huyo meneja kuambiwa kama ndio mimi mwenyewe akaanza ku apologize pale. Nikamwambia usijali mpo kazini nipe nilichokijia niondoke, wakanipatia receipt yangu ndukiiiii.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nacho pia ukiomba benk wanakwambia tutakufikiria.
Halafu kuna benki ile ya Visa wanakulipisha Tzs15,000 na Mastercard bure, nikauliza tofauti yake yule teller hata hajui. Nilibaki kucheka nikasema huko makao makuu Texas wanajua watu wanaliwa kijinga huku afrika.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sina black card ninayo rangi nyengine nilikwenda duka moja huko duniani, wakati wa kulipa yule muhudumu akaomba kitambulisho(ID) nikampa. Hakuridhika akamwita bosi wake akaangalia nae hakuridhika wakavuta waya wakaongea na customer service, wakanipa niongee nao akaniuliza masuali 2 tu. Akanambia mpe huyo meneja kuambiwa kama ndio mimi mwenyewe akaanza ku apologize pale. Nikamwambia usijali mpo kazini nipe nilichokijia niondoke, wakanipatia receipt yangu ndukiiiii.

Ndukiiiii
Samahani mkuu Kiduku Lilo ni ndugu yako?
 
Ukiwa na kadi hiyo, IT akikupiga 1m, utakiwa kulalamika, wala kuomba statement kucheki balance.
 
ah ah mzee naona umejimwambafy...za platnum kibongobongo unaweza kua nayo tu mpunga wako
 
Back
Top Bottom