Don’t Start Online Business Kama huna vitu 5 vifuatavyo

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings everybody.

Siku ya leo ningependa nikupatie darasa muhimu kama ilivyo ada.

Leo nataka nikufahamishe kuhusu vitu vitano ambavyo kama huna basi fahamu kuwa you are not ready to start online business.

Hii mada ni muhimu kwasababu itakusaidia kufanya decision wether you are ready or not.

Pia nikutoe wasiwasi kama huna vitu hivi vitano unaweza ukaendelea kujijenga zaidi na siku ukiwa tayari you dive into Online Business.

Kumbuka this is marathon not a splinter.

So take your time and make sure you are ready before you start.

My goal is to help you get started kwasababu najua hapa ndipo msingi unapoanzia. Kwahiyo endelea kunisoma hapa JF nitakuwa napost everytime im free.

Pia nafahamu some people wana-comment mambo yakutuhumu kwamba Online Business is scum.

Niseme tu mimi ni LEGIT

I’m not forcing anyone to read my posts.

I’m here to help the youth who are hungry for knowledge and they want to improve their lives.

So don’t waste your time listening to bad mind.

They are living miserable life. And they are very angry about everything.

Ok.

Now let’s go to the class.

1 • Huna Pesa kabisa kabisa.

Hii Point number moja ni muhimu.

Kama huna pesa kabisa na unataka kuanza Online Business basi nikwambie tu utakuwa very desperate kupata pesa ndani ya muda mfupi na hii inaweza kukusababishia kuacha au kuona Online Business unayofanya haina maana.

I know this because I meet many people who are broke and want to make profitable business in weeks.

That’s nearly impossible man.

Hapa nakushauri get some job so that you have money at least to pay for food and another expenses in life.

Hii itakusaidia kuwa free kufanya kazi zako Online bila kuwa desperate for money

Trust me, watu wengi wanaoshindwa Online Business unakuta alikuwa anategemea biashara hiyo mpya ndiyo mpatie pesa ya rent, food, transportation and etc.

Most of these people give up in few weeks or months.

And guess what?

They go on the Internet and troll people who are busy working on their business. Slowly but surely.

It is a MINDSET thing.

2 • Unaogopa KUUZA

How many times should I emphasize on this?

Najua nimeongelea sana hili.

Na leo nitaongelea tena.

Kwanza niseme. Watu wengi wanaogopa KUUZA hatari kabisa.

Wanafikiri ukitoka mbele za watu na kuuza basi watu watakuona tapeli.

If you have this mindset utapata shida sana.

Pesa na vitu vizuri utaviona mitandaoni tu.

Labda utakachoweza kufanya ni ku-comment pumba ili kidogo u-boost ego.

Usiwe mmoja wa watu hawa.

You are meant to be wealthy and live in abundance.

Upo service au product?

Usisite hata nukta uza kwa yeyote yule unayedhani itaongeza value kwake.

Trust me.

Ukiwa na ujasiri kidogo tu you can achieve anything you want in this time and space.

Don’t fear no one.

Hauna chochote chakuficha.

You are already naked.

3 • Hauna Stamina.

Ok.

Hii nimeweka kwasababu watu wengi wanaoanza online business wanashindwa kuendelea baada ya miezi michache ya mwanzo.

Wanaishiwa pumzi mapema.

Kitu wanashindwa kufahamu ni kwamba it takes time to build real business online.

Lakini pia wanashindwa kufahamu kadiri unavyoendelea kukomaa na Business yako na kuwa persistant ndiyo unavyojenga uaminifu kwa potential customers.

Usiogope ukiona Online Business yako haijakupa results week au miezi michache ya mwanzo.

Keep on going.

Kwa maneno yake Jay Z anasema.

Nanukuu “the things i did is I didn’t give up”

Ok I know Jay Z is a rapper.

Lakini hapa wisdom yake inafaa kabisa.

Never give up my man.

Ulipotoka ni mbali. Better you keep going.

4 • Unataka Uwe Free.

Let me tell you one thing.

Online entrepreneur is everyday work ukiwa unaanza.

Kwahiyo kama lengo lako ni kuwa lazy nakuomba ishia hapa right now.

Ukianza onlike Business you won’t be free in first few months or a year sometimes.

Utaweza kuwa free pale tu utakapo automate biashara yako kwa kutumia program mbalimbali.

Hiki kipindi ni wakati umeshaweza kutengeneza stable revenue and you are willing to pay money for pricy software.

Kwa wasiofahamu automation ni vile kufanya Online Business yako kujiendesha yenyewe kwa msaada wa software.

5 • Hauna Marketing Plan kupata Potential Clients

Ngoja nikukumbushe kitu hapa.

Online business is all about marketing/sell and innovation.

Ukishindwa kuweka mpango mzuri hapa you are doomed to fail.

Na niseme tu.

Marketing si kuuza tu.

Ni makakati mzima jinsi unavyoweza kuwafikia potential customers na kuwafanya wanunue kwako.

Most businesses fail because they only focus on selling.

Kama huna makakati wakueleweka jinsi utakavyomfikia mteja wako na kumfanya anunue kwako basi fahamu you are ready.

Kaa chini jipange upya.

Ok.

Let me end here for today.

Tukutane tena kwa darasa jingine amazing kama hili.
 
Haha kila kheri mkuuukiwa na ujasiri kidogo tu , u can achieve anything u want in this time and space

Yes man.

So many people out there with bright ideas but won’t start business kwasababu hawajiamini. They are scared of failure.

Lakini siku wakifafamu changamoto na kukosea ndiyo namna yakujifunza hawatopoteza muda tena.
 

Wanafanikiwa sana tu.

Lakini hiyo haitokei siku moja.

Inabidi upate uzoefu wa muda mrefu kuelewa pair ya currency unayo trade.

Pia lazima uwe na money management system.

Hiyo ni kwasababu event fulani inaweza kubadilisha uelekeo wa pair na kama hu practice money management utaunguza account kila leo.
 
Mkuu umeongea vitu muhimu sana kwenye biashara yeyote sio online business tuu...Big up kwa hilo

Shukrani mkuu Isanga family

Business inahitaji mipango.

Usipofahamu mbinu bora zakuenda Business yako hiyo maana yake ujiandae kupoteza muda na hasara juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom