IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Wakuu habari zenu,
Kutokana na changamoto ya ajira nataka nijikusanye kamtaji kidogo nifungue stationary Mbeya haswa Mbeya Mjini. Naomba mtu yoyote anayejua location ambayo anahisi hii biashara itanilipa anielekeze jamani maisha yamekuwa magumu sana.
Napendelea liwe ni eneo karibu na chuo or ndani ya chuo ambapo kuna mzunguko mkubwa wa wanafunzi.
Nakaribisha maswali na michango yenu ya mawazo