Mdau unauliza sijui anakwama wapi kwenye swala la kuanzisha biashara

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,762
8,834
Kuna mdau kani Pm ana lalamika kwamba kila anacho kainzisha kinakufa yaani akianza hiki kinakufa na akianza kile kinakufa.

Kwanza kwa Mawazo yangu swala la kufa Biashara ni la kawaida sana make hata wazoefu huwa wanaanzisha biashara zinakufa.

Shida je biashara inakufa kwa mazingira yapi?

Make kuna ambao zao ni kwa sababu ya.

1. Sera za nchi zilibadilika ghafla so wakajikuta hawana namna.

2. Ushindani mkubwa sana- Hii huwa ni joja dhaifu

3. Techinolojia kunadilika

4. Mambo ya mazingira magumu labda Kodi kubwa, Hali ya Uchumi kwamba watu wanashindwa kununua na kadhalika.

Zipo nyinhmgi sana

Sasa turudi kwa Mdau yeye zinakufa kwa mazingira hayo tajwa hapo juu?

Ukiona biashara yano inakufa si kwa sababu ya Ushindani au Sera na kadhalika basi jua wewe muanzisha biashara una matatizo makubwa sana.

Either ni kutokana na sababu zifuatazo.

1. Unaanzisha biashara kwa kufuata mkumbo masd.Wewe research yako ni watu wanaanzisha nini.

2. Hauko Commited yaani wewe ulianzisha tu biashara ku suprise watu au maadui zako ila swala la commitment hakuna kabisa.

3. Usimamizi. Unaendesha biashara yako kwa simu yaani uko offsini wewe ni kupiga simu kuulizia biasbara inaendaje na kama leo kulikuwa na wateja au la. HII HUWA NI SABABU KUU KABISA.

4. Not your Hobby. Biashara unatakiwa kufall in love nayo. Kama wewe uko na biashara yako na unakna kabisa ni sawa ulikosea kuoa au kuolewa basi hapo kuna tatizo ndo yale ya kuiga.

5.Hujatatua changamoto za jamii. Ujue pesa huwa ni matokea ya sisi au wewe juwa umetatua changamoto za jamii.

Sasa how come upate pesa wakati hujasolve chochote? Yaani ni mtu gani atajifanya kichaa aje kukupa pesa ilihali hujatatua chochote kile?

SASA BASI.

1. Kama huna Muda wa kusimamia biashara yako. Mimi huwa ushauri ni kwamba acha kwanza hadi utakapo kuwa na muda.

Hapa watu watasema utaweka sijui shemeji mala mke mala Dada mala Kaka mala Mjomba na kadhika. But biashara ni zaidi ya sijui kuibiwa. Unless wewe lengo la biashara yako ni kuto kuibiwa.

2.Kama huna unacho enda kutatua kwenye hiyo biashara yako bora uache tu.

3. Kama huna Commitment usimwage pesa zako tu kisa ni kuwaonyeshea majirani na ndugu na jamaa kwamba una biashara

Mambo ya ziada.

1. Biashara yako je mko wangapi na mnahudumia population kiasi gani? Usiseme ni ridhiki lazima ujue mko wa ngapi. Market share yako ikoje.

2. Wateja wanataka nini sasa, na je umejikita kwenye point ya wanacho taka? Au wewe ni unacho taka wewe ndo unaamini na wao watataka?

3.Je mbadala wa unacho kifanya ni mkubwa kiasi gani?

Lets say unazua Nyama ya kuku, je unajua kuna mibadala kaisi gani? Make mtu anaweza opt kula nyama ya Ng'ombe badala ya kuku.

Wengine wataongezea.
 
Nyongeza:

Je, Sangoma wako ni wa wapi?
Ni wa Sumbawanga, Pangani au Kwa Msisi?

Hiki ni kipengele muhimu sana hiki,
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom