Japan Ni nchi iliyoendelea Lakini maendeleo Yana gharama kubwa pia.
Mfano mtu akifa Japan kutokana na ukosefu wa ardhi eneo la kuchimba kaburi lazima ununue na linauzwa kwa dola za marekani...
Wakuu Igweeee
Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa...
Wakuu habari,
wakubwa naomba kujua ni kiasi (amount )gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mfuko mbadala.hii ya kisasa ambao imechukua nafasi ya rambo
Mimi ni Engineer mwenye Elimu ya Kiwango cha Masters, Nakaa DSM Natarajia kuanzisha biashara ambayo partly inahusu fani yangu. Nimefashafanya kazi ya awali ikiwa ni pamoja na utafiti, mpango wa...
Nimepita Chato kwa Raia namba 1 Tz nimeshangaa barabara za lami zinavyojengwa mpaka vijijini lakini wajengewa hawaoni thamani ya barabara hizi na kuzitumia kinyume na matumizi kusudiwa.
Wanapanga...
Wenzangu wapendwa,
Kufuatia uamuzi wa mahakama leo, Acacia Mining Plc na shughuli zake sasa zinakuwa sehemu ya Barrick Gold Corporation na tunawakaribisha katika familia yetu. Barrick ilidhamiria...
Ni wazo langu tu limenijia humu Jukwaani,kuna watu tunakuwa serious tunahitaji huduma fulani ila na humu jukwaani kuna watu wasio waaminifu pia wanakuwa serious kuharibu malengo ya watu na wengine...
Kuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red...
WAAGIZAJI wa bidhaa na mawakala wa forodha nchini, wamepatiwa elimu
kuhusiana na taratibu za uingizaji wa bidhaa nchini pamoja na usajili
wa maghala ya kuhifadhi bidhaa za chakula na vipodozi...
Greetings.
Leo tunakutana tena jioni hii kwa kwaajili ya darasa muhimu kabisa ambalo naamini litakusaidia kuona mambo unayokosea katika Hustle zako na namna gani unaweza kubadilika.
Kwa kuanza...
1 • 90% ya watu hawasave pesa. Ndiyo maana 90% ya watu ni masikini.
2 • Watu wengi wanapoteza Pesa kununua vitu wasivyohitaji kwa pesa wasizokuwa nazo ili kuwafurahisha watu wasio wajua. Think...
Kwa mnao faham naombeni mnisaidie kuusu hili. Kwanini vifurushi vya Vodacom vina bei sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo, Airtel...... Ni kwamba vodacom wameridhika sana na wateja wengi...
Nimejaribu kutafakari aisee sisi watu wa hali ya chini kutwa tupo fb tena bas tujadili masuala yenye kuleta ustawi lkn ajabu tunashindana kubishana masuala yasiyo na faida yoyote kwenye maisha...
Mimi ni moja ya wafanya biashara wa simu pesa airtel money ,tigo pesa n.k.
Hii biashara zamani ilikuwa inalipa sana,kwa sasa move imepungua sana
1.wakala wako wengi sana
2.utapeli mwingi hasa km...
Mambo vipi?
Leo Jumatano Sept 11 nataka nikuonyeshe njia 5 zinazokuzuia kutengeneza pesa yakueleweka kwenye haya maisha na jinsi unavyoweza kubadilika kwa muda mfupi tu.
Nataka uone mwenyewe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.