Habari zenu wakuu,
Kuna wafugaji kadhaa wapo Kibaha nilianza mazungumzo nao ya kununua maziwa kwao na kuyaleta kuuza Dar na wapo tayari kwa hilo.
Wao wamesema wataniuzia kwa sh 1000 kwa lita...
Biashara nyingi tatizo huwa ni wateja lakini kwa samaki na madini ni tofauti wateja wanakuwepo lakini bei ndio huwa changamoto kushuka na kupanda kuendana na upatikanaji
Biashara ya samaki kwa...
Benki ya Kiislamu yazinduliwa
Send to a friend
Thursday, 24 November 2011 19:30
0digg
Geofrey Nyang'oro
WAFANYABIASHARA wanaofuata misingi ya dini ya Kiislamu...
Habari wadau, nafanya biashara ya ice cream hizi za ubuyu au ukwaju za kufunga. Changamoto ninayoipata kwa sasa niupatikanaji wa vifungashio/ vifuko. Kwa wadau waliopo DSM mwenye kujua mahali...
Wakuu habar zenu, nipo kwenye harakat za mwisho za kufungua biashara ya chips. Tatizo nakosa location muda wa kutafuta location sina nabanwa sana na mambo ya kazi. Naomba msaada kwa mtu anaejua...
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu...
Ningekuwa na mamlaka husika ningechagua mji mmoja ambao ungejengewa miundo mbinu mbalimbali halafu wadau mbalimbali wa sanaa wakapewa motisha ya kuwekeza sehemu hiyo.
Katika mji huo kutakuwa na...
habari zenu wakuu,
Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
1. M. Graham 1/2 ounce tube
2. Winsor & Newton cotman
3. Sennelier la petite acquarelle
4. Daniel Smith 285610005 extra fine essentials
5. Holbein Wc W40 set of 24 5ml
6. M. Graham GRM 33- 10 set...
MAFANIKIO ya haraka ya Soko Kuu la Kimataifa la Dhahabu Geita ambalo ni la mfano katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, yamezivutia nchi za nje ambazo tayari zimeomba kulitumia soko hilo kuuza...
Katika mihangaiko yetu ya kujikwamua kiuchumi hatimae nimeingia kwenye mikono ya mikopo ambayo kimsingi hali ya uchumi ilivyo haikwepeki.
Bahati nzuri repayments zinafanyika vyema ila mwezi huu...
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.
Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake.
Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote...
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi)
1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu.
2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu...
Napenda kumpongeza Kalito wa Samaki Samaki kwa ubunifu mkubwa anaouonesha kwenye biashara zake. Kuanzia mapambo, mpaka huduma.
Weekend hii nilikuwa kwenye moja ya viwanja vyake pale masaki...
Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala...
#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy...
Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.