Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona.
Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo.
Naishi Arusha
Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo.
Naishi Arusha