Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naona Tanzania Hali Tete !! Watanzania Milioni 50 Itabidi Tutulie Kimya Kama Tupo Kwenye Freezer Ili Magufuli Mwenyewe Ajenge Nchi !! Vijana Wamekuwa Wabunifu, Wana Idea Nyingi Na Nzuri Lakini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanna jf. Naombeni ushauri kwenye bwawa langu la samaki Kuna vitoto vingi sana vya chura . Je hivi vinaweza kudumaza vifaraga wanguwa samaki? Nitafanyaje kuviondoa . Asanteni sanaa
1 Reactions
3 Replies
801 Views
Samahani wakuu naomba kuelekezwa njia nzuri ya kusafirisha mzigo (Laptop kumi) kutoka USA kuja TZ kwa bei nafuu...ni mzigo natakiwa kutumiwa na ndugu yangu. Msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa habari zenu, wadogo marahaba. Ndugu zangu jana nilitumiwa message na rafiki yangu akiomba aniunganishe katika biashara ya bidhaa za Oriflame Sweden (kama alivyoziita yeye). Kwa kuwa ni...
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Nimepokea meseji kibao PM wakiniuliza bidhaa zilizoandikwa made in PRC zimetengenezwa wapi? Maana yake ni kuwa zimetengenezwa People's Republic of China au kwa kifupi ni China, kutokana na...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi viwanda vinatoa ajira nyingi sana, Kagame Rais wa Rwanda amefanyayaje ili kuwaingiza wawekezaji hawa kuweka viwnda nchini kwake na si kwetu Tanzania kwenye nafasi kubwa? kwanini sio nchini...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nataka kufuga hawa ndege kama pet na pia kibiashara. Kwa wale wandugu wenye uzoefu wa ufugaji wa hawa ndege wakuje hapa watoe nondoz zao. Hapa kuna fursa nzuri sana hususani biashara ya mayai...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama hiyo tsh 20k ndiyo pesa ninayoweza kusave kila wiki. Baada ya kufanya matumizi mengine Karibu kwa mawazo ....
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimekuwa shuhuda mzuri wa mafanikio ya watu wenye tabia za kibahili na binafsi nishawahi kujaribu kuwa mbahili kwa kifupi ubahili ni utajiri kuishi maisha ya ubahili sio kazi nyepesi inahitaji...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
habari wakuu. najua wengi wenu mpo katika changamoto za kutafakari ni mradi gani wa kuwekeza pesa yako ili iwe katika rotation. Ila mawazo mengi hupuuzwa labda kwakusosa usimamizi au undani wa...
3 Reactions
29 Replies
10K Views
Wana jamvi habari za leo! Nataka kuanzisha kampuni ya familia itakayokuwa ina deal na kilimo na ufugaji. Sasa naomba msaada wa kuanzisha kampuni kisheria nifuate taratibu zipi? na pia najua kuna...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Maisha hayajawahi kuwa magumu hata siku moja bali ni sisi tu binadamu ndio tunakuwaga na mioyo migumu na tunashindwa kujipekecha sahihi ili kuendana na kasi ya Dunia. Kasi ya Dunia ni kujua fursa...
13 Reactions
100 Replies
28K Views
Kiwanja kinauzwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mi huwa nalima mpunga kwa kutegemea mvua huku Mwanza, Mwaka huu msimu haujaenda vzuri, na hvyo hali ni mbaya.... katika pita pita zangu nikakutana na jamaa anafanya kilimo cha umwagiliaji...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
I know the biggest knowledge bank of our times resides in this village. I'm thinking of the above business, can pull some heavyweights and sell the idea if it works. If anyone has info on the...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Mimi ni kijana wa kiume Ndoto zangu ni kufanya kilimo maana ndo kazi naipenda sana toka utotoni Ombi langu kwenu ni kunishauri Nianzie wapi na niendelee vipi Mfano Mawazo yangu ni kutafuta...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huduma imeondolewa bila taarifa.Nimeshindwa kufanya transaction muhinu. Airtel mnafeli wapi kutoa taarifa kabla ???
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, karibu ndugu msomaji Leo tutaangazia kwa uchache namna biashara za kuunganishana ( biashara za mitandaoni kama wanavyoziita wao) Hizi sio zile zakuuza bidhaa online kama wafanyavyo...
34 Reactions
139 Replies
15K Views
Ndugu zangu wapendwa nimeweza kuanzisha biashara ya spare parts za magari makubwa na madogo Nina ofisi Kinondoni B.lakini sina stock yeyote natafuta wateja na kusupply.Na nina wateja ambayo ni...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wana jf. Tangu kubarikiwa machinga kupanga bidhaa zao barabarani. Sasa imekuwa kufuru hadi sasa hakuna sehemu ya kupita zaidi ya kuonewa huruma na wenye magari yao wakikukwepa kama mpira wa...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Back
Top Bottom