Admin1988 JF-Expert Member Mar 30, 2017 1,603 1,835 Oct 18, 2019 #1 Habari wakuu. Je ni vitu gani muhimu katika kununua gari vya KUZINGATIA Ili nisije kulizwa. Ni mgeni kabisa na ununuzi wa vitu.
Habari wakuu. Je ni vitu gani muhimu katika kununua gari vya KUZINGATIA Ili nisije kulizwa. Ni mgeni kabisa na ununuzi wa vitu.