Fremu nzuri kwaajili ya duka hapa morogoro mjini

borncool

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
226
49
Habari wadau,kama kuna anayefahamu fremu nzuri ambayo unaweza kuweka duka la rejareja ,nafaka pamoja na bidhaa zingine ndogo tuwasiliane kwa bei ya 60-80 kwa mwezi iwe eneo karibu na makazi ya watu au sehemu wanapopita watu kiufupi location iwe inaridhisha kwa business
 
Back
Top Bottom