Msaada kuhusu Diamond traders investment program(DTIP)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Messages
211
Points
225

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2018
211 225
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani halafu unalipwa yaani mfano ukiwekeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamini vipi akanitumia lesen yao na kila kitu.

Nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii company ni kweli au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment TIN0001.pdfView attachment DIAMOND TRADERS INVESTMENT-2019 - 2020.pdfView attachment BRELLA0001.pdf
 
Omarion emmyriano

Senior Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
106
Points
225

Omarion emmyriano

Senior Member
Joined Sep 7, 2018
106 225
Uliza wenzako wa inclussive forex kyelele kishawaisha kama wewe unataka uwekeze kanunue hisa za kihalali izo kampuni ni za kipigaji sikushauri sema kama umekula sportpesa au mbet au premier bet kawekezee coz ata ukipigwa autaumia kama ni ela umeangaikia kwa jasho sikushauriiii
 
hamisi ndingo

New Member
Joined
Sep 11, 2019
Messages
1
Points
20

hamisi ndingo

New Member
Joined Sep 11, 2019
1 20
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Mimi mwenyewe hio taarifa nimekutana nayo ilaa cjajua kma ni ya kweli au utapeli
 
Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
1,104
Points
2,000

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
1,104 2,000
Kamwe usithubutu mkuu,hata uliambiwa 500 kimbia, sitosahau skyinvestiment walichofanyua watu... jiulize wao wanapata wap pesa ya kukupa? Watasema wanatrade forex au kununua coins mbalimbali au wame invest biashara za online zikianguka ww unaponaje?
 
The-Monk

Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
60
Points
95

The-Monk

Member
Joined Sep 7, 2018
60 95
Kamwe usithubutu mkuu,hata uliambiwa 500 kimbia, sitosahau skyinvestiment walichofanyua watu... jiulize wao wanapata wap pesa ya kukupa? Watasema wanatrade forex au kununua coins mbalimbali au wame invest biashara za online zikianguka ww unaponaje?
Tatizo ya izi mambo mkuu ni kwamba ndugu kabisa ndo anakuletea habari so hata kupinga inakua ngumu
 
Siku za ajabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Messages
957
Points
500

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2012
957 500
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Ukionaga mahali popote kuna pesa ya haraka ujue loss kubwaa
 
Forum statistics

Threads 1,343,881
Members 515,249
Posts 32,800,706
Top