Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana jf. Tangu kubarikiwa machinga kupanga bidhaa zao barabarani. Sasa imekuwa kufuru hadi sasa hakuna sehemu ya kupita zaidi ya kuonewa huruma na wenye magari yao wakikukwepa kama mpira wa...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Kuna sehemu nimesoma kuwa simu kwa maana ya mawasiliano inachangia asilimia sita ya pato LA taifa hivyo kunifanya niwe na shauku kujua vyanzo vyengine vinachangia kiasi gani katika pato LA taiga...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini za asubuh Kwa watu walioko Dodoma nahitaji mkopo Wa mil.3 ninakiwanja cha futi 55/45 maeneo ya kizota mbuyuni kama dhamana na nimemaliza udom mwaka huu degree ya sheria Naombeni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu,twende katika hoja. Napendekezo la kushirikisha wadau wenye mitaji kuanzia 50,000/- na kuendelea tuungane katika uwekezaji katika mradi wa nishati inayo tembea (mobile energy)...
8 Reactions
61 Replies
11K Views
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na...
9 Reactions
23 Replies
8K Views
SERIKALI imeridhishwa na uwezo wa viwanda vya ndani katika kuongeza thamani ya korosho ya Tanzania, huku mpaka sasa tani 40,050 zimeshapakiwa kwenye meli tayari kwenda nje ya nchi kupitia Bandari...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu mwenye mawazo jengefu ya namna ya kufungua ofisi ya kutoa huduma za internet na photocopy, eneo la DSM. 1. Naomba kujua ni vifaa gani ninapaswa kua navyo? 2. Changamoto za biashara hio 3...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wana jamvi,nimekuja kwenu kuomba USHAURI juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa vidogo vidogo vya machine kama mikanda(belt) ,engine oil na ring piston kwa mtaji wa 2.5M naweza kuanza ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo Kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa naomba msaada ili nipate kujua gharama halisi ya kusajili Kampuni huko BRELA mpaka nipate certificate zote itakuwa Kama Tsh ngapi?
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Wazee usalama upo ? Ok mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo 2018 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (COSS) sikuwa na lengo la kuajiriwa baada ya masomo hivyo nikajiingiza kwenye biashara ya...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wana JF, Natafuta soko la Limao Lengo la kuanzisha uzi huu ni kushirikiana na mdau yeyote. Kama wewe huko ulipo bei inalipa basi tushirikiane na nna uwezo kukusanya tenga moja...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali. Hapa karibuni...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Naamini wapambanaji wenzangu mpo poa! Naomba kujua wale manguli wa zile kazi za promotion a.k.a Bounty Taskier or Bounty Hunter mnapokutana na mimi nipate kuongeza Bounty Hosts. Kule Bounty Hub...
0 Reactions
3 Replies
622 Views
Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa toka Kisarawe II kwenda Mwapemba, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wajasiriamali Wenzangu Naomba msaada wenu, nahitaji kuanza biashara ya kukodisha Mitambo yaani niwe na mitambo yangu niwakodishe watu. Lengo la kuweka uzi huu hapa kwenu nikuomba ushauri wa...
1 Reactions
44 Replies
17K Views
Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
amani iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na kipato kidogo,mazingira magumu na adha...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom