Natafuta Business partners, basically iOS developers

loyalty

Member
Jan 30, 2012
30
14
Natafuta Business partners, basically iOS developers. I need at least two apps created every month and to be placed on Apple Store. We will help each other as i have JS knowledge, i just started Swift. Paycheck is good, plus incentives like iphone for testing the apps, macs, ipads and even house facility for those who are active and producing enough impact in the project.

I have an apartment that i could lease for them in terms and conditions that we'll discuss. Please give me an IM on skype. Ni-inbox nikupe my skype, afu i like being straight, i will personally conduct interviews near Sinza and Mwenge. Min pay, laki kwa mwezi au laki per an app. ukiweza ntumie barua pepe Email me

Nawashukuru, na naomba tuchangamkie fursa hii ya ajira, tusiseme kazi/hela hamna, afu bando ya insta ipo unacheki tuu kota la nchisa au mawe! Hii haikufikishi popote, personally by 2010 i was already out of facebook.

Nikiingia ni ads tuu kufanya, sahizi unamsikia mtu anasema. I am 24/7 on insta, can't live without. My friend...... Pole sana!!!
 
Kutengeneza apps mbili kila mwezi na muda wa kuifanyia marketing hizo apps unapataje?
 
Kutengeneza apps mbili kila mwezi na muda wa kuifanyia marketing hizo apps unapataje?
nita outsource kwa marketers wa nje, ila i work over 12 hrs. i guess 30mins mara tatu kwa wiki itatosha. Natumia BH/GH ambazo zinahitaji muda mwanzoni kutokana na ugumu.
 
Kutengeneza apps mbili kila mwezi na muda wa kuifanyia marketing hizo apps unapataje?
Kama unafanya hivyo, ww sasa upo serious na kiukweli iOS kuna biashara na sio android. Naplan kuhamia huko.
 
Kama unafanya hivyo, ww sasa upo serious na kiukweli iOS kuna biashara na sio android. Naplan kuhamia huko.
nina uhakika optimization ya app haichukui muda kama ya tovuti, na ni njia rahisi mbadala. Kama una ujuzi, unaweza ku-save sana. Mfano, mtu anayelipia adsense au anawalipa influencers wa social media hela nyingi itamtoka. Ila soko la bongo, kwenye optimization halijawa saturated. Kwahiyo, inaweza isiwe shida kama unatafuta soko la ndani au Afrika. Ila kama ni worldwide, lazima uweke nguvu za ziada za kusogeza apps zako kwenye rankings.
 
N kweli ASO na SEO kibongo bongo sio kiivyo, na kuna niches nyingi sana ambazo developer anaweza fanyia implementation.

Ila kama target ni tz kwenye revenues utategemea ads kwa kiasi kikubwa tu kitu ambacho mi naona sio.

Kwa sababu utalazimika apps iwe na downloads ya kutosha kuongeza kipato.

Lakini kama audience ni ya developed countries huwezi kosa watu (3%) wa kulipia apps yako.

Kama apps in 1000 downloads uwezekano wa kupata watu 30 wa kulipia unakuwepo.
 
Ni kweli, na percent umepatia kabisa mkuu. Margins zake ni hizo ukiwa ume-download. Ila kabla ya apps, bora ufanyie SEO huko kwenye makampuni ya mbele. Uwe na traffic ya hot niches, say "buy a house in manhattan" imagine CPC yake ya Adwords, na imagine kama optimizer ukaweza ku-compete nao. Hata ukipata clicks 10, your revenue kama you do Ads, itakuwa around $30. Kwa siku una survive walau.
 
Back
Top Bottom