Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wadau,kama kuna anayefahamu fremu nzuri ambayo unaweza kuweka duka la rejareja ,nafaka pamoja na bidhaa zingine ndogo tuwasiliane kwa bei ya 60-80 kwa mwezi iwe eneo karibu na makazi ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mm ni mwalimu npo mbeya mjini na mshahara wang kwa sasa take hom ni kama 350 iv, nataka kukopoa NMB kiasi tajwa kwa ajili ya kufungua kibanda cha mahitaji ya kawaida ya majumbani, location...
3 Reactions
160 Replies
20K Views
Watanzania, baada ya kuhangaika kutafuta ajira na kushindwa, nimeamua kuanzisha biashara ya M-Pesa.Tafadhali mwenye uzoefu na hii biashara naomba anifahamishe yafuatayo: 1.Mtaji wa kuanzia 2...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za wakati huu, Napenda kuwapa njia bora ya kuongeza thamani wa bidhaa na mvuto kwa wateja hasa bidhaa za kufungasha. Hapa njia nayozungumzia ni kuweka lebo, najua wengi mnaweka lakini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
*Za kaz wakuu naomba mwenye maelezo yale ya malipo ya kamishen na bonas kwa frelensa za voda,tigo,ttcl, na airtel anitumie* Natanguliza shukuran
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Natafuta Business partners, basically iOS developers. I need at least two apps created every month and to be placed on Apple Store. We will help each other as i have JS knowledge, i just started...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu wa kupokea mizigo kutoka Ali express niliagiza kitu kutoka China leo nimetrack nakuona ujumbe huo je mzigo wangu ndo umeshafika au laa! !na kama tayari...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu. Je ni vitu gani muhimu katika kununua gari vya KUZINGATIA Ili nisije kulizwa. Ni mgeni kabisa na ununuzi wa vitu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu? Naomba niende kwenye hoja ya msingi, Kuna mzigo nimeagiza kutoka china, sasa umekaribia kufika... wakati nafikiria jinsi ya kuutoa bandarini, nikakumbuka kuna kipindi lilitoka...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
SADC Member anaingia mkataba na China bila mapatano na Member wengine wa SADC, je hii haiwezi kuharibu mfumo wa kodi wa nchi nyingine? Biashara kati ya nchi za SADC haina import duties, only VAT...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Dawa kiboko ya nzi inapatikana kwa pic moja 300 na jumla pic 50 kwa shillingi 10000 karbuni sana 0783859598
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania. Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka...
2 Reactions
1 Replies
7K Views
Wadau habari za jioni ,nadhani wote Ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za uzalishaji Mali. Nahitaji msaada ,Kwa yoyote mwenye soft copy ya kitabu chochote kinachohusiana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania 80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China Miradi ya ujenzi wa...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna dalili zinazoonyesha ule uchumi wa kijamaa wa mashirika ya serikali kufanya biashara taratibu inaanza kurejeshwa. Biashara ya Clearing and forwarding imeajiri watu wengi na ni sekta huru kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania? Nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Back
Top Bottom