Natafuta Black soldier flies hapa Tanzania

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari zenu wadau?

Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje?

Please. Malila na wengine okoeni jahazi!
 
Uliwapata mkuu?.
 
Unatengeneza mwenyewr mkuu kutoka uchafu wa sokoni
 
Uko wapi? Unawexa pata Larvae yake
Huwa kinacho uzwa ni either mayai au Larvae.

Wale fly huwezi wasafarisha. Na uhanitaji kilo ngapi?
 
Nahitaji kujenga rearing unit na utaalamu wa jinsi ya kuzalisha,.kuanzia mwanzo hadi mwisho.Niko KIBITI-PWANI
 
Kama bado ujapata msaada karibu
pm takusaidia hatua zote kuwanzia kuanda rearing unit, jinsi ya kuwapata, kuwavuna, kufanya analysis ya ingredient, kutengeneza pellets na mengine utakayo hitaji msaada. Karibu Pm.

Similar Discussions

Back
Top Bottom