Kwenye Italii je hatuna Vivutioa kwa ajili ya Dark Tourism/Black tourism?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Kwa siku za karibuni Dark tourism imekuwa inajizolea umaarufu mkubwa sana kiasi kwamba watalii wengi wanapenda kwa sasa kutembeal maeneo hayo ambayo ni Dark.

Dark toursim ni utalii wa kutembelea sehemu au maeneo ambayo yalihusishwa na Mass Death au majanga janga kubwa la kibinadamu lililo pelekea watu wengi mno kufariki kwa mkupuo.

Mfano;
-Mauaji ya Kimbari-Rwanda inapata watalii wengi mno kwa ajili ya Dark toursim.
-Concentration Camp kule Ujerumani.
-Chenoby Disaster kule Ukrine-Ile sehemu inapata watalii wengi mno kwa sasa wanao taka kwenda kuona nini kilitokea pale kwenye kinu cha Nuclear.

Kwa bahati nzuri au mbaya Tanzania nazani hatuna hizo site au tunashindwa kuzidevelop.

Mfano Ajari kama ile ya Mv Bukoba ile Meli kama ingeweza kutolewa hata kuvutwa na kuwekwa pwani tu kwa sasa ingeisha ingiza pesa za kutosha kabisa make watu wengi sana wangekuwa interested kutaka kwenda kuona Hiyo meli ilio gharimu maisha ya watu wengi sana.

Ajari kama ile ya Juzi kati ya mafuta pale Morogoro pale kulikuwa na furusa. Ile Gari na zile pikipiki zingeachwa pale pale zilipo na eneo likajengewa vizuri na kuwekewa uzio pale watu wangeenda kujionea.

Tunapuzaga sana lakini zile ni furusa kubwa sana kwa baadae hasa kwenye Dark tourism.

Huwa tunapoteza furusa kwa kuto kujua, leo hii Kizazi kijacho swala kama Mv bukoba watakuwa labda wanatembela makaburi ila makaburi hayatoshi kutoa picha kamili bali kama Chombo husika kingekuwepo ingekuwa vizuri sana.


5760.jpeg
images%20-%202019-11-02T132115.478.jpeg
 
Back
Top Bottom