mtakahela
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 801
- 1,258
Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu!
Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa.
Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani kutumia rasimali zilizopo kufanikisha jambo hili, mfano kutafuta watalii na kuwaunganisha na kampuni zenye kutoa huduma hizo na mimi nikapewa commission yangu.
Rasimali nilizonazo ni kompyuta pamoja na mawasiliano ya watu wanaotoa huduma za kitalii yaan kampuni za kitalii. Kwahiyo kama nikipata offer najua jinsi ya kuwaunganisha na watu wa huko. Sasa changamoto kubwa ninayofikiria ni jinsi gani naweza kuaminika na watalii hao wawe wa ndani au wa nje mpaka wakakubali kufanya kazi na mimi?
Ukizingatia watu wahofia utapeli uliozagaa mitandaoni. Nashukuru kuna post ya global citizen amezungumzia kuhusu kutumia app ya couchsurfing kupata watalii naona na yenyewe sielewi elewi . Mwenye uelewa zaidi kuhusu app hii naomba maarifa zaidi naomba anipatie.
Nakaribisha wenye ufahamu zaidi kuhusu fursa nyingine zilizopo kwenye utalii ambazo wengine hatuzijui.
Natanguliza shukrani zangu zote kwa wanafamilia wote wa JF