Jina la kampuni - Simusolar.
Simusolar inauzwa mfumo wa umwagiliaji. Unatumia Solar Power kutoka katika vyanzo vyako mbalimbali vya maji.
Mfumo huu unakusaidia wewe mkulima kuepuka gharama za...
Sehemu ya shamba la viazi mviringo yaani ⅓ ya eka moja, inatoa vipeto ( gunia za debe 4) kuanzia 12 guaranteed.
Lipo karibu na barabara pia unaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki.
Bei ya...
Wana jamvi nami nimeona niweke two cents zangu kuhusu swala lilochukua moto kwa siku za karibuni haswa swala hili la forex na options.
Mambo muhimu sana ya kuzingatia, nayaweka hapa chini nikiwa...
Habari wanajamii.
Nina account ya NMB Chapchap. Nataka nijue maximum deposit (kiasi cha juu kinachoruhusiwa kukaa kwenye account) ni shilingi ngapi?
Na maximum withdrawal (kiasi cha juu...
Unakuta mtu anakomaa afungue biashara peke yake matokeo yake anaishia kusajili kampuni ama anafungua biashara kwa kutumia gharama kubwa mno ambayo wengi wao wanakuja kupoteza investment zao...
Habari zenu wana JF,
Ningependa leo kuzungumzia japo sio kila kitu ila mafanikio unayoweza kupata kwa kupitia google adsense, kwanza google adsense ni nn?
GOOGLE ADSENSE ni program maalum...
Saloot
Leo ngoja ni-share na nyie wana jukwaa mipango/Focus zangu na nyie wanajukwaa.
Binafsi endapo nitaajiriwa baadae nitaacha kazi tu sitozeeka kwenye kazi ila sitaacha kazi kizembe...story...
Wadau napenda kuja na wazo la ku-disect biashara fulani fulani ili tuweze kufahamu undani wa hiyo biashara (najua jungu kuu na humu ndani kuna wafanyabiashara tofauti)..
Mfano niliongea na muuza...
Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au...
habari wanaJF, leo nimependa kuwashirikisha kitu ambacho nimekijaribu na kuona kinafanya kazi kwangu. Unaweza kupata salio kwa kushare link yako kwenye mitandao ya kijamii.
Swali unapataje salio...
Jamani nahitaji kupata mkopo kwa huyu bilionea Mohammed Dewji kama kuna kuna mdau yeyote aliyewahi kukopa kwenye kampuni ya huyu bilionea naomba mwongozo wake Asante
Kuna jamaa yangu aliniambia kuna biashara nzuri nataka nikuunganishe upate hela bila kutumia nguvu nyingi, na wala hutumii ela nyingi,
Nikimuuliza biashara gani hasemi, siku akaniambia kama una...
Amani iwe kwenu wana JF,
Nmewaza sanaa kwa nini TRA isiwape nafuu wafanyabiashara wanaoagiza mizigo nje baada ya makadirio ya kodi wapewa nafasi ya kulipa kwa awamu au unapewa muda hata miezi...
Nimekuwa mdau sana wa kufanya biashara kupitia mtandao na njia yangu kubwa ya kuinteract na wateja ni kupitia Whatsapp.
Hivi karibuni napata tatizo la kufungiwa (ban) mara kwa mara kutumia...
Hopeful mpo njema wadau. .
Hoja yangu au swali langu ni hivi...
Kwa mtu mwenye exposure ya uelewa juu ya namna ya mfumo wa ulipaji kwa mawakala wa mitandao ya mawasiliano especially kwa yule...
Habari wanajamvi,kama kuna mtu ana mchele mzuri kwa bei ya jumla tuwasiliane nauhitaji kwaajili ya kuuza kwa rejareja katika fremu .napatikana morogoro mjini
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.