Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

**Internet Security** When you collect personal information, including addresses and credit card numbers, you have the responsibility to protect that data. Hackers who target your website could...
1 Reactions
0 Replies
525 Views
Wadau ipi inalipa kati ya kununua shambani then ukoboleshe na kuupeleka dukani au kununua tu mashineni moja kwa moja nakuenda kuuza dukani. Ipi iko sawa zaidi? Na je, mgawanyo wafaida ukoje kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
*Na Emmanuel J. Shilatu* Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu wasalaam.. Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance Trade insurance fee ni 2.95% Nimefanya oder ya 2800usd...
5 Reactions
34 Replies
8K Views
Wapendwa,nataka kufanya biashara ya diapers mkoan mwenye experience ya hii biashara anisaidie sehemu ya kuchukua mzogo ,faida inakaaje ect.
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Za muda huu wakuu, Kama kichwa kinavojieleza nahitaji kuwasiliana na Kikuu Tanzania kwani Juzi niliamua kununua bidhaa kikuu na nikaamua kulipia kwa M-Pesa Online na hela ikakatwa kama kawaida...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Ningependa kujuzwa kuhusu Online Bussiness App ambayo inatoa vitu vya uhakika kama ulichokutana nacho online. Mfano kama mtu ashawahi pata bidhaa kutoka KIKUU, vipi kuhusu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh.. Sasa nimeshindwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua TRA wanakubali mmiliki mwenye TIN moja akaitumia kwenye Biashara zaidi ya moja? je utaratibu wa malipo ya KODI utakuaje. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Katika harakati zakatafuta maisha, nimepata idea ya kulima bustani/kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia maji ya ziwa Victoria, ambayo nikiproove kwamba ipo katika uhalisia, naweza kuanza kuitekeleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini hawajui kuziwekea manjonjo na katika vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja. Nimejipanga kuanza kununua bidhaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu napenda wenye kuijua hii biashara ya branding na marketing agency/promotions. Tupeane ujuzi maana ni biashara ninayotaka kuifanya maana makampuni mengi yana outsource marketing/ promotion...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
naomba kama kuna mwenye kampuni ya repair and maintenance of office equipments au cleaning services, nahitaji aniongoze kwenye mambo kadhaa kadhaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mambo ya kushangaza ni kuwa kuuza biashara kupitia mitandaoni kama facebook,insta,jf Na kupatana nimenote kuwa Watanzania wengi hawajui kufanya biashara. Jee ni kivipi hawajui? Unakuta...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa. Gati hilo ni sehemu ya magati saba yanayojengwa katika bandari hiyo na yanayotarajiwa kufunguliwa na mamlaka hiyo na hivyo...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
TANZANIA kwa muongo mmoja uliopita imekuwa ni nchi ambayo uchumi wake umekuwa ukiimarika na pato lake la taifa likikua kwa wastani wa asilimia nane. Hayo yamebainishwa katika takwimu za Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo kwenye mchakato wa mkopo na bank fulani hapa mjini. Mimi ni mfanyabiashara wa duka la mahitaji ya nyumbani. Nina mtaji wa milioni 7, yaani kwa hesabu za haraka kwa mali iliyopo sasa nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wana jf, kichwa changu kwa muda mrefu kilikuwa kinawaza kufanya kitu kingine kwa ajili ya kuongeza kipato changu ( Alternative way of raising income) katika kuwaza kwangu nikafikilia...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom