Msaada Biashara ya viatu vya mtumba vya kike

Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
376
423
Habari zenu wananzengo.

Naombeni msaada kwa wazoefu wa hii biashara ya viatu vya mitumba vya wanawake.

Nina 50000/= Kama mtaji.

Vp inaweza kutosha kwa kuanzia.

Pia wazoefu wa hii biashara, vp kuhusu changamoto na zake.

Naomba pia kujua bei za kuchukulia viatu kule ilala kwa wale wazoefu.

Karibuni kwa ushauri.
 
50000 kwa kuanzia sio mbaya cha msingi ni kupoint tu viatu vizur na kuhusu bei inategemea na sehemu uliyopo.
 
Back
Top Bottom