Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni kweli ndivyo ilivyo kadri ya maono yangu ya ndotoni usiku wa kuamkia leo. Ninasema haya moyo wangu ukivuja machozi mazito ya huzuni kwani miaka kumi ijayo Tanzania hii itakuwa makapi na nchi...
27 Reactions
141 Replies
18K Views
Vyombo vingi vya Afrika mwaka 2015 viliripoti mgogoro wa kibiashara nchini Rwanda, na pengine vyombo vya Tanzania havikuipa uzito habari hiyo kutokana na mazingira na wakati, ikizingatiwa mwaka na...
13 Reactions
34 Replies
11K Views
Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu. Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mdau amani kwako. Nimepita sehemu mbalimbali nchini na kujifunza vitu kadhaa vyenye hasara na faida ikiwepo. Kila mkoa kuna aina ya maisha wanayoishi na huwezi kuyabeba and kuyapeleka mkoa...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Huu mzigo niliagiza mnamo tarehe 15 December 2019, na movement zote zilienda vizuri isipokuwa hapo ilipoishia "-Despatched to OverSeas Postal Admin (From SG/SIN to TZ/DAR) 2019-12-27 13:14:02...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hawa jamaa ni wababaishaji...mzigo unazaidi ya siku ishirini hapa Dar lkn kwangu hauletwi...au ndo wamenipiga?!sitashauri mtu kwa style hii
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukiacha Airtel money transfer ambayo kwa zaidi ya siku tatu inasumbua, njia ipi ni nzuri zaidi kutuma pesa toka Malawi kuja Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Huu ugonjwa utaleta athari mbaya sana za kibiashara hususan sisi tunaonunua mtandaoni. Mambo yamekwisha anza kuharibika huko Aliexpress na Alibaba. Hapo sijazungumzia mnaoagiza mizigo na kwenda...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Samahani ivi nawezaje kureceive file kutoka freelancer.com? Nilijiunga freelance.com wiki mbili zilizopita; sasa nimepata client amenipa project ya kuandika article fulani...
1 Reactions
2 Replies
909 Views
Mvumbuzi mkubwa kuliko wote katika historia ya ulimwengu. Ubora wa maisha ya binadamu wa sasa una deni kubwa na kazi ya Edison. Elimu yake ya darasani ilikuwa ndogo, lakini aliweza kujipatia haki...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba msaada namna ya kupata mabelo ya viatu hasa kwa Kanda ya Mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman kwa anaejua njia bora za kuweza kutoka kwa biashara ya dukan yaan vitu vya kupima kama mchele maarage n.k ushauri wenu pleaz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza ningependa kusema kuwa wengi tunafanya biashara huku tukisahau kuwa biashara co bidhaa....bali ni mfanyabiashara anayeisimamia Nitashare experience kidogo ili tujifunze something(ukitaka...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuwaachia wakulima na walanguzi kuuza vyakula kwa bei zinazowapendeza wao, kuna madhara yoyote kiuchumi ama kijamii kwa Taifa letu kiujumla?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wapendwa nataka kwenda Dubai kununua spare part na magari. Naitaji kujua machimbo ya ununuzi na changamoto zake na jinsi ya kusafirisha Michango yenu na ushauri tafadhali. Sent using...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wakuu wangu. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, ndoto yangu ni kuja kumiliki shule kuanzia chekechea mpaka Form Six. Ni vitabu gani na inspirations zipi naweza kuzipata katika hali ya...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Mambo vipi? Leo Jumapili kama kawaida tunakutana tena kwenye darasa la leo ambapo nitakuonyesha njia tano unazoweza kutumia kumshawishi mteja mpya anayetembelea online store apate inammi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau kuna hizi bubble gum za kutafuna zinatoka zambia nimesoma maelezo yake nikapata detail kuwa wana distibutors Tanzania nimefanikiwa kuchukua namba nikajaribu kumtafuta lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 24 na nina plan ya biashara (business plan) iliyo kamilika hivyo now natafuta watu wa ku join nao yaani business partners ambao naweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom