Naomba kufahamu vigezo vya kupata TIN Namba

Ndio inawezekana ndg.

Ila cha kufanya unatakiwa uende TRA kuibadilisha hiyo TIN isome unamiliki licence ya udereva pamoja na biashara yako baada ya hapo watakufanyia makadilio ya biashara yako then utapewa tax clearance ambayo hiyo itakusaidia kupata leseni ya biashara huko halmashauri uliyopo.

Mchakato wooote huo mpk unafanikiwa kupata leseni ya biashara,kuna pesa ndefu fulani hv lazima utapoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia uelewe endapo huta declare kuwa hukuanzisha hiyo biashara, ngoma utaipata kwenye ku renew licence yako ya udereva. Sintasahau nilipotaka kuzimia nilipoletewa mrejesho wa kodi wa mamilioni nilokuwa nadaiwa ati ninafanya biashara
 
Nyaraka kitambulisho cha mtaifa, utaulizwa n kwa ajili ya lesen ya driving au biashara ...kama biashara utasema n biashara gan na utaanza kufanya lin utaambiwa ukianza kufanya unatakiwa kupeleka mrejesho kwa ajil ya makadirio ya kod ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom