The Power of Levarage

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,490
5,525
Je, unaelewa nini kuhusu LEVERAGE?

Unafahamu kwamba kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta NETWOTK na kutafuta WORK?
Je, unajua ni furaha katika maisha kuweza kufanya kazi kidogo na kutengeneza faida kubwa?
Je, unajua ni furaha katika maisha kuweza kutumia muda kidogo na kuwa na mtokeo makubwa?
Je, unajua kwamba uwekezaji pekee unaopaswa kuwekeza na katika kuongeza ujuzi wako na maarifa yako?
Je, unafahamu kwamba huwezi kufanikiwa kikamilifu kama hujui namna ya kutumia POWER of LEVERAGE?

Je, leverage ni nini?
Unawezaje itumia katika biashara yako, maisha yako etc

Karibu tujadili
 
Usije anza leta habari za Forever Living and the likes hapa.

Ongelea Leverage kama Leverage na Forms and Types of Leverage and How One Can Apply it.

Ila Usilete Michongo ya Network Marketing Hapa.

Karibu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu acha Presha kwani Forever living ina tatizo gani?
 
Wakati nimeanzisha Biashara yangu ya kwanza mwaka 2015,baada ya miaka 3 mbele ilivuka malengo na kunipa mafanikio makubwa sana hivyo nilifikilia namna ya kupunguza muda wangu wa kazi/kuwepo kwenye Biashara lakini niendelee kupiga mpunga wa maana.

Nilifikilia sana mbinu gani ingenifaa hapa.Baada ya kufikia kwa muda wa siku takribani 2 ndipo nikagundua kuwa mbinu pekee ni kuajiri watu wengi zaidi kwenye Biashara.
Hapa ina maana kuwa kama nilikuwa nafanya kazi mwenyewe kwa masaa 9,baada ya kuajiri watu takribani 6,Basi muda wa kufanya kazi utakuwa umeongezeka kutoka masaa 9 hadi 54(siku 3 per day).

Hii ndo tunaita leverage.
IMG_8651.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi umerudi kule kule....! On a serious note haya mamboni ngn sana Africa!...i wish ningepata hivi!dah

I kno how leverage works..

Nimekuja kugundua watu wengi kwenye kwenye biashara hatupigii hesabu ya wizi mdogo mdogo wa wafanyakazi kama part of Miscleneous Expenses / Losses ndio maana tunaishia kuugua pressure na kuumizwa vichwa why biashara haziendi....

Sema still bila kuwepo eneo la biashara often hiyo biashara sio yako. I wish ningejifunza kwa undani kina Bakhressa na Mengi walianza anza vipi wakavuka hichi kihunzi ( in a street smart way) hatimae wakajenga empires.

Hamna kitu kigumu duniani kama kuwa mfanyabiashara. Acheni Tu.

Yaani km mtu huna biashara hiwez eleweka kwa hiki ulichoandika ..!..mie had nahisi somtym ntapata msongo wa mawazo...unashindwa kutoka ukitka tu hesabu hasara ya pesa nyingi...!lakini wachaga wanauafadhari sana..kabila nyingine anakupiga anaenda kuongeza mke....kuna platform kenya mie naifatilia sana kidg ntaweza kuamua naendeshaje mishe zangu
 
ni heri uweke mchaga mjanja aongeze income lkn lazima nikupige..kuliko uweke mjinga ambaye hatakupiga lkn atakuwa anakuingiza loss kwa uzembe. hata mia siachi aisee. hata ukifunga cctv camera kote, labda uwe vzuri kwenye stock controll...ukinibana sana mteja akija naenda chukua mali duka lingine...hyo inaitwa kupeperusha bendera
 
Nakuomba sana u share nami PM hyo plaform nione itanisaidia vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni heri uweke mchaga mjanja aongeze income lkn lazima nikupige..kuliko uweke mjinga ambaye hatakupiga lkn atakuwa anakuingiza loss kwa uzembe. hata mia siachi aisee. hata ukifunga cctv camera kote, labda uwe vzuri kwenye stock controll...ukinibana sana mteja akija naenda chukua mali duka lingine...hyo inaitwa kupeperusha bendera

We acha tu..Aaah hzo mambo zipo sanaa...ndio unakuja shangaa kijana wako wa dukani kariakoo huko kwao wana muita tajiri unashindwa elewa. Wapo wengi tu nawajua walianza kazi maduka ya ndugu zao saa hivi wana maduka yao yamejaa mali nyingi tu.

Hahaha

Sent using Iphone 11 Pro Max
 
Kuna kijana alikabidhiwa gest na mshua sasa hv ana gest 2mafinga! Imagine!
 
Back
Top Bottom