Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza mimi ni kijana wa miaka 24 na nina plan ya biashara (business plan) iliyo kamilika hivyo now natafuta watu wa ku join nao yaani business partners ambao naweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sina mengi ya kuzungumza, kama kichwa kinavyojieleza, ninatafuta watu wake kwa waume, ambao, wamechoka kuchangia harusi na birthday, bali wanataka kuchangia maendeleo yao na kesho yao, binafsi ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu Mteja, Kutakua na maboresho ya huduma za Tigo Pesa leo kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo Hiyo ndio Sms niliyotumia jana ila mpaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Za leo wa ndugu,mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,,Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,,nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Natafuta kampuni inayo deal na kusafirisha mazao, kuna deal ya kusafirisha mahindi kwenda Zambia. Ni deal endelevu ila kwa kuanzia, buyer anahitaji tani 30,000 za mahindi. Buyer yupo Tanzania...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu wangu, ninaomba msaada. Nipo kwenye institutions fulani ya elimu hapa Tanzania. Nina kama elfu 50,000 hivi, ninaweza KUFANYA kitu. Nimeona nitafte vijana wangu wawili...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman naitwa Emmanuel mwita napatikana mwanza ninajihusisha na uuzaji wa bidhaa za watu na makampun mbalimbali ko kama una kampun yako au una bidhaa yako nitafute tufanye biashara namba ya sim ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa wana jukwaa napenda kuuliza jee ni kweli kuwa mpesa visa master card inaweza kufanya manunuzi mtandaoni km ebay,aliexpress,na amazon? Jee vipi kuhusu makato na gharama za huduma...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
nyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500. muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo. sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali...
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Hivi ni kweli pesa ndiyo mtaji pekee kwenye mafanikio yetu ya kibiashara.? Jibu ni HAPANA. Kama hauniamini acha kusoma nilichoandika huku chini maana utakuwa unapoteza tu muda wako. Kwa sababu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Biashara ya mazao mfano Mpunga,Nunua Mpunga gunia 180@52000/=Yaani kijijini katika kipindi cha mavuno mwezi wa sita mpaka wa saba bei huwa haizidi 50000 kwa hiyo 52000 namaanisha na usafiri hata...
9 Reactions
35 Replies
9K Views
Habri za jioni; Kwa hakika dunia inaenda kwa kasi sana.Tatizo la ajira kwa Tanzania linakuwa kwa kasi sana huku kasi ya kupoteza ajira ikiwa kubwa kuliko kasi ya kupata ajira Katika hali kama hii...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China. Ila zilizokuwa njiani zimefika. Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Wana Jamiiforums! Mimi ni mjasiriamali kwenye sector ya utalii, nipo Arusha. NATAFUTA mtu aliye serious kwaajili ya kufanya nae biashara, najua kuna watu Wana pesa au connection lakini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS! Apartments or Standalone? Dear TANZANIAN REAL ESTATE INVESTORS (including parastatals/institutional investors), YES we need homes but APARTMENTS needs are...
10 Reactions
469 Replies
34K Views
Nimeona wito wa Waziri wa Fedha kwa wafanyabiashara kwamba tuwasilishe changamoto zetu ambazo zinatukabili. Waziri Mpango ameahidi kufanyiwa kazi kwa changamoto hizo. Baada ya hapo nikaonelea...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Forbes’ Celebrated young Nigerian billionaire and CEO of Invictus Group, Obinwanne Okeke has been arrested by America’s Federal Bureau of Investigation (FBI) over a $12 million (N4.3bn) fraud. He...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TUNAUZA CHUMA ZA ALUMINIUM KAMA VILE JAM SILL OUTER Z T PLAIN HOOK TOP BIDING MOSQUITO NAKADHARIKA PIA TUNATENGENEZA MADIRISHA MILANGO PARTION MAKABATI YOTE YA ALUMINIUM, BALCON STAINLESS STELL...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Waungwana Naomba Msaada kidogo humu kuna Watu wengi Wenye Hekima Sana. Sasa Nina Vidola $ Vyangu Nilidunduliza ili nije Nichange kwa Shiling Sasa Nachohitaji Kujua. Je, Wapi Naweza...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo. Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom