M MISELYA New Member Mar 6, 2020 1 0 Mar 6, 2020 #1 Samahani wadau, naomba kujuzwa bei ya hiyo mashine ya juice ya miwa na biashara yake vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani wadau, naomba kujuzwa bei ya hiyo mashine ya juice ya miwa na biashara yake vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
S Six Time JF-Expert Member Oct 17, 2019 209 140 Mar 7, 2020 #2 Nunua Sent using Jamii Forums mobile app
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Feb 21, 2014 929 1,276 Mar 7, 2020 #3 nenda kariakoo gerezani, Bei yake 1.2-1.5 inategemea unavyoingia, hizo ni mashine ambazo zinatumia umeme a genereta. "HUU NI MWAKA WA RAHA"BY MWAMPOSA
nenda kariakoo gerezani, Bei yake 1.2-1.5 inategemea unavyoingia, hizo ni mashine ambazo zinatumia umeme a genereta. "HUU NI MWAKA WA RAHA"BY MWAMPOSA