chakapoteza
New Member
- Jan 24, 2020
- 2
- 3
Ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na naelekea kumaliza chuo ifkapo mwezi wa 7 mwaka huu 2020.
Nina mawazo kichwani mwangu huku likiwa wazo kuu ni kwenda kutatua changamoto ya elimu katika mazingira yanayonizunguka kwa ndugu zangu wajao, namaanisha watoto wote wa hayo mazingira, ila nashindwa nianzaje kufikia hilo lengo.
Naamini hapa ni sehemu salama kuna watu wamenizidi elimu, na wengine wamenizidi mawazo pia hivyo ninaweza kupata msaada mzuri sana wa mawazo kutoka kwenu.