Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za muda huu, NATAFUTA KAZI ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane. Nipo morogoro mjini. Namba yangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF. Natumai mko poa. Nimekuwa nikisikia kwa muda mwingi kuwa Virtual Card ya kutengeneza kama vile ya M-Pesa MasterCard unaweza kufanyia manunuzi sasa kuhusiana na Youtube iwe kama payment...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Kwanza mniwie radhi kwa kuchelewesha kuleta somo hili. Kuna baadhi ya mambo yaliingiliana na hivyo kushindwa kuiandaa mada hii. Nilikwisha leta mada ya Usindikaji wa Yoghurt kupitia uzi...
13 Reactions
69 Replies
21K Views
Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Nikili wazi siyo mtaalam wa falsafa, ila katika maisha ya kila siku kila mtu hujikuta anatumia saikolojia ikiwemo na filosofia bila kujijua au kuwa na utaalam. Mambo ni mengi yayofanya 'life...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Habari zenu wanajamii. Utambulisho, Mimi ni mwanachuo nipo Dar, nachukua shahada ya teknolojia nipo mwaka wa mwisho wa masomo hadi sasa.Hivo kutokana na mihangaiko ya hapa na pale na changamoto...
2 Reactions
3 Replies
761 Views
Naomba kupewa elimu juu ya kampuni ya kuuza vocha na kupata kamishen kuptia aitha mpesa au tigo pesa na ukauza vocha mitandao yote nje na Rifaro Asante
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
February 24, 2020 Paris, Ufaransa TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kumekuwa na kuibuka kwa makundi mengi ya whatsup yanayohamasisha kuekeza pesa na kupata pesa Kama vile bc investment, million money,olvat na makundi mengine meng Hivi haya makundi ni kwel...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Hisa ni nini? Wengi miongoni mwetu wamekuwa wakitaka kujua HISA ni nini, shauku hii imenifanya nidodose kidogo juu ya hisa kwa faida ya wengi. Kwa tafsiri lahisi HISA NI UMILIKI. Mtu akisema...
12 Reactions
27 Replies
21K Views
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF, Moja kwa moja niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo. Ingawaje nilikidhi vigezo...
6 Reactions
118 Replies
23K Views
Wadau katika kuhangaika kwangu nilinunua mashine ya maximalipo lakini ilikuwa ni kipindi ambacho kumbe kampuni inalekea ukingoni. Naomba kuuliza,ni kipi ninachoweza kufanya na mashine hii?Naweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
njna shiling 500000 hapa je naeza kufanya biashara gani niko morogoro
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi wanakodi, zile nguzo Za umeme zinapatikana wapi au wapi zinauzwa, tafadhali naomba taarifa zaidi Asantenii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wote, Kama kawaida leo nimefikiria nimekuja na swali jipya. Mimi nipo Dodoma chuoni nasoma but nahitaji kuendesha shughuli zangu za kipato na pia mimi ni artist hasa katka suala la...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wana JF, Natumai wengine mshalala usiku huu, ila kuna jambo mkiamka nitaomba tulijadili sababu ni miezi kama sita sasa "Mamsap" wangu alikuwa anataka feedback ya biashara ya kusafirisha...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom