Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wazima ndugu zangu?nataka nianze biashara ya viatu vya mtumba ila classic Sitaki nianze na vingi nooh nataka nianze na pcs 3000 kwanza Location nitatafuta eneo lenye hekaheka na shughuli...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, seller wa Aliexpress anahitaji kunirefund pesa sasa ameniuliza anitumie kwa njia gani? Naombeni kwa anayejua anitajie njia rahisi ya kupokea pesa kutokea China. Maana ameniuliza kama nina...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumai Mu Wazima! Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha. Market Value ya hiyo Hekari 5...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Wakuu, Naomba kujua, nifanyeje ili nipate friji za makampuni ya vinywaji kama Coca-Cola au Pepsi ? Msaada wenu utanisaidia sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nahitaji kujiajiri niwe dalali wa nyumba,mashamba viwanja,magari n.k Sasa nilikuwa nahitaji ushauri na uzoefu ambao mnafahamu changamoto na jinsi ya kufanikisha ila nataka kufanya mkoani Sent...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nchi ya Namibia imekuwa Nchi ya kwanza kutoka Africa kwa kuweza kusafirisha nyama kwenda USA . Shehena ya kwanza ya nyama tani 25000 inaondoka mwezi huu. Tanzania tunaweza kufanya biashara ya...
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Teknolojia ya dijitali imebadili nchi nyingi barani Afrika. Programu mpya za simu zimesaidia biashara za kila namna kuibuka na kukua. Mabadiliko haya yamekuwa na tija kubwa kwenye sekta ya ajira...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau, Tafadhali naomba munipe uelewa wa taasisi ya FINTEGRI ikiwemo namna ifanyavyo kazi na hatimaye mhusika kufaidika. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza...
1 Reactions
1 Replies
814 Views
Habarini za asubuhi wanajamvi..... Si kawaida Voda kutokuwalipa mawakala wao wanaotoa huduma kwa wateja wao mpaka sasa muda huu napoandika Uzi huu, Huwa ukiamka asubuhi siku ya tarehe 1 unakuta...
2 Reactions
149 Replies
24K Views
Kaka jirani anasema:
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Binafsi nimeona bidhaa zinazotoka china zimepanda bei, wauzaji wakisingizia, au labda ni kweli kwamba viwanda vimefungwa, hivyo wanauza stock wakiwa hawajui mwisho wa tatizo , kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu kwa wenye uelewa wa hizi biashara kati ya hizi biashara tatu ni ipi inaweza kuwa na return/mauzo yenye uhakika usimamizi ukiwa mzuri , je kati ya hizo inawezekana kuchanganya ipi na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambazo hazipo katika hatari kubwa ya kudodora kiuchumi kutokana na kuwa na kiwango cha chini cha madeni. Hali...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nina Kibiashara changu hapo mjini dar kinachonipatia ridhiki, lakini kwa mda mrefu nimekuwa nikitafiti sehemu za kupata eneo kubwa la kuweza kufanya shughuli zangu kiupana zaidi na hapa Dar...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
February 18, 2020 Serengeti, Tanzania Mr Adam Kighoma Malima the Governor of Mara region in Tanzania decide to go to the Savannah plains of Serengeti National park and tell the world right in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari za mchana. Napenda kujua ukiwa umeagiza Gari nje ni gharama gani nyingine unatakiwa kulipia pale bandarini baada ya Gari kufika bandarini na kulipa gharama za TRA. Nilikuwa...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Back
Top Bottom