Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba niseme nimekua mtumiaji mzuri wa kulipa kwa M-pesa mastercard. Nimekua nikideposit 1xbet. Leo nimebutua mshiko wa maana sasa nataka kutoa kiasi. Nimejaribu kutoa kwa njia ya acc yangu ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi! MTU wenu Leo Niko hapa kuulizia kuhusu biashara ya viazi kutoka huko vitokapo ( iringa,mbeya) mpaka kuingia sokoni Mabibo Dar es salaam. Kwa kuanza. 1_bei ya gunia moja...
3 Reactions
29 Replies
17K Views
Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Wakuu mzee mengi kabla ya kuondoka, alikuwa kwenye mkakati wa kuanzisha kiwanda cha simu janja na kingine cha magari na tuliona alikuja na wawekezaji, Je, ndiyo mpango wake ule umeondoka naye au...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba wazo la biashara nina milioni 7 ndio mtaji naweza fanya biashara gani, naomba mchango wenu.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta luxury packaging kwa ajili ya bidhaa za vyakula kama makopo na mifuko. Pia nahitaji watu wanaoandaa package za maboksi yaliyoprintiwa au kuprint katika mifuko.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji kujua supplier wa viungo kwa jumla. Viwango vya kilo 50 kwenda juu. Wawe juu ya wanaouza viungo Kariakoo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Binafsi mimi nafanya pia forex ila sio ile ya kufundishwa na Ontario, hapana. Nimejifunza kwa muda mrefu lakini hadi sasa sijapata mafanikio yoyote na hii huenda ikatokana na kuwa bado sijakomaa...
54 Reactions
334 Replies
38K Views
Habari zenu wanaJf Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka. Sasa nataka hii pesa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu? Naomba mwenye kujua au anayeweza kunifundisha jinsi ya kufungua account ya paypal inayowezakupokea pesa Tanzania. Asante.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Mmejiandaaje na Christmas? Hivi tunaruhusiwa kuuza mbao nje? Kuna kipindi nilisikia kama ilistopishwa. Natanguliza shukrani, Spray
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua kwa Dar ni maduka gani naweza kupata Vipodozi aina zote kwa bei ya jumla.? Ikiwezekana naomba majina ya maduka na eneo liliopo & details zozote unazoona zinaweza kunisaidia kama uzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Ule mpango wangu wa kuanzishisha biashara sasa umekaribia kuiva. Maeneo ninayopendelea kufungua biashara yangu ya chakula ni maeneo tajwa hapo juu. Yaani mwenge na sinza. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Business Plan katika biashara ni kama ramani ya nyumba. Unapotaka kujenga Biashara ni sawa na unapotaka kujenga nyumba au unapotaka kwenda mahali fulani ni muhimu sana uwe na ramani.Business Plan...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kufahamu mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa kwa Kusajili Laini yangu Mwenyewe. 1. Gharama za Usajili 2. Vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ili kusajili 3. Ufafanuzi kidogo juu ya malipo ya...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli? Sent...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ndugu wana jamvi! Naomba kupata Updates za soko la tikiti kwa maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro, soko likoje kwa mwezi huu wa tisa? Na pia, kwa wale wajuzi wa soko la zao hili, naomba...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa...
10 Reactions
207 Replies
19K Views
Wanabodi, Baadhi ya Watanzania wenzetu ni masikini kwa kukosa tuu uthubutu wa kuchangamkia fursa za kibishara zinazojitokeza. Watanzania akiona mtu anafanya biashara fulani, na anapata, na yeye...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…