Frame ya biashara maeneo ya Sinza na Mwenge

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Habari zenu wakuu?

Ule mpango wangu wa kuanzishisha biashara sasa umekaribia kuiva. Maeneo ninayopendelea kufungua biashara yangu ya chakula ni maeneo tajwa hapo juu. Yaani mwenge na sinza.

Sasa nimekuja kwenu wazoefu wa maeneo. Bei za frame za kawaida ambazo naweza fungua biashara ya chakula zina range ya shilingi ngapi kwa mwezi.

Frame ninayotaka iwe na eneo mbele ambalo naweza funika turubai kwaajili ya kuweka viti vya kukaa wateja.

Naomba kuwasilisha. Mtanisamehe kwa mwandiko wangu mbovu.
 
Back
Top Bottom