Ningependa kujua kama naweza pokea malipo kwenye M-pesa mastercard

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,078
2,000
Naomba niseme nimekua mtumiaji mzuri wa kulipa kwa M-pesa mastercard.
Nimekua nikideposit 1xbet.

Leo nimebutua mshiko wa maana sasa nataka kutoa kiasi. Nimejaribu kutoa kwa njia ya acc yangu ya bank, wamekataa kutokana na terms and conditions zao kuwa lazima nitoe kwa njia niliyotumia kudeposit.

Sasa, nimekuja kwenu wazoefu nahitaji msaada wa kueleweshwa/elekezwa kama M-pesa mastercard inaruhusu kupokea hela? Au ipo kwaajili ya malipo tu?
 
7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,143
2,000
M-pesa Mastercard haiwezi receive, Imeumbwa kutoa/kulipa. Labda tusubir maboresho na huduma hiyo iweze patikana.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,210
2,000
Naomba niseme nimekua mtumiaji mzuri wa kulipa kwa M-pesa mastercard.
Nimekua nikideposit 1xbet.

Leo nimebutua mshiko wa maana sasa nataka kutoa kiasi. Nimejaribu kutoa kwa njia ya acc yangu ya bank, wamekataa kutokana na terms and conditions zao kuwa lazima nitoe kwa njia niliyotumia kudeposit.

Sasa, nimekuja kwenu wazoefu nahitaji msaada wa kueleweshwa/elekezwa kama M-pesa mastercard inaruhusu kupokea hela? Au ipo kwaajili ya malipo tu?
Hapo ndipo shida inapoanzaga kutoa sidhani kama utaweza kutoa. halafu siku hizi mastercard ina tatizo la kupokea pesa kutoka sehemu mbalimbali visa card ndo shemu ndingi inakubari kupokea pesa. Labda next time jaribu kuweka pesa from mpesa mastercard to skrill to x1bet halafu wakati wa kutoa tumia skrill.
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,078
2,000
Hapo ndipo shida inapoanzaga kutoa sidhani kama utaweza kutoa. halafu siku hizi mastercard ina tatizo la kupokea pesa kutoka sehemu mbalimbali visa card ndo shemu ndingi inakubari kupokea pesa. Labda next time jaribu kuweka pesa from mpesa mastercard to skrill to x1bet halafu wakati wa kutoa tumia skrill.
Ahsante boss. Hata hivyo nina account ya skrill nimeifanyia kazi wanaprocess mkwanja
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,078
2,000
Ivi unaweza kutoa pesa kutoka kweny Mpesa MasterCard yko kuja Mpesa yko?

Mweny kujua atujuze !
Inawezekana boss.
Nenda kwenye menu ya mpesa
Chagua 4 kisha 6 kisha 5 kisha utaona sehemu ya kutoa hela kwenye kadi kuja mpesa
 
SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
283
1,000
Inawezekana boss.
Nenda kwenye menu ya mpesa
Chagua 4 kisha 6 kisha 5 kisha utaona sehemu ya kutoa hela kwenye kadi kuja mpesa
Siku hizi magu katuwekea sheria kibao zinazofanya online transactions kuwa mchakato mgumu. Hivi unaweza kutumia Mpesa MasterCard kudeposit kwenye skrill?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom