Paypal account

Paypal account

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
287
Reaction score
370
Habari zenu?

Naomba mwenye kujua au anayeweza kunifundisha jinsi ya kufungua account ya paypal inayowezakupokea pesa Tanzania.

Asante.
 
Huwezi kupokea pesa kwa paypal ukiwa Bongo. Ni kutuma/kulipa huduma tu ndo inawezekana.
 
Huwezi pokea pesa kwa Tanzania toka Paypal.
Vipi ukitumia trick mkuu.manaake kuna mtu kanipa trick nimewezesha paypal yangu kupokea na kutuma kwa kutumia taarifa zangu . Nimetumia licence driving, nimeweza verify no.sijatumia vpn yoyote.
 
Vipi ukitumia trick mkuu.manaake kuna mtu kanipa trick nimewezesha paypal yangu kupokea na kutuma kwa kutumia taarifa zangu .
Utapokea fedha mara kadhaa, Then account itakuwa blocked. Na kama uliweka nchi kenya watahitaji uthibitisho.
 
Utapokea fedha mara kadhaa, Then account itakuwa blocked. Na kama uliweka nchi kenya watahitaji uthibitisho.
Uthibitisho nimewapa na nimecomfirm nimeweka lesen ya udereva manaake walitaka kitambulisho cha udereva au cha uraia.kuna sehem mbili tu ndio sensitive.nimetumia nchi ya uphilipine kujisajili.
Screenshot_20200908-003211_PayPal.jpg
 
Hii ndio sababu account yako inaweza kupokea fedha.
Hapo sawa mzee.kuhusu kuwa blocked na kuhitaji uthibitish o taarifa nilizotumia ku create ac ni zangu. Na sahihi but kuna ka trick kadogo inabidi ucheze ili taarifa zako zikubaliwe katika kuverify.kama no ya uphilipine ambayo utahitaji comfirmition pamoja na zip code yake.
 
Hapo sawa mzee.kuhusu kuwa blocked na kuhitaji uthibitish o taarifa nilizotumia ku create ac ni zangu. Na sahihi but kuna ka trick kadogo inabidi ucheze ili taarifa zako zikubaliwe katika kuverify.kama no ya uphilipine ambayo utahitaji comfirmition pamoja na zip code yake.
Kuna siku watataka uverify location yako yani uweke kitambulisho chenye details sawa na ulizoweka ndipo patamu hapo kama una ela ndani yake wataihold.

Kufungua akaunti ya paypal ukadanganya rahisi sana hata useme uko wapi mwanzo hata hawahitaji kitambulisho, ila unavyozidi pokea pesa ndipo watataka uverify details zako.
 
Kuna siku watataka uverify location yako yani uweke kitambulisho chenye details sawa na ulizoweka ndipo patamu hapo kama una ela ndani yake wataihold. Kufungua akaunti ya paypal ukadanganya rahisi sana hata useme uko wapi mwanzo hata hawahitaji kitambulisho, ila unavyozidi pokea pesa ndipo watataka uverify details zako.
Mkuu nimeweka kitambulisho changu yaani nimeweka taarifa zangu sahihi sijafake taarifa.yoyote ile zaidi ya kufake nchi na no ya simu ambapo no ya simu ya uphilipine ninayo inayopokea sms na call.paypal wapo very sensitive sana kwenye security. Kama utakuwa tayari nikutumie maelezo yotee hadi wasihold hela yako au hata wakihold unawapa taarifa sahihi coz detail zote unazoweka pale ni legit
 
Back
Top Bottom