Last seen ya ONTARIO ni Tarehe 13/01/2018, Je alipatwa na nini huyu kijana?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa Kutumia Keyboard Jamii Forums watakuadhibu hasa tena kwa kuwatukana hata Wazazi wako.

Ontario nikiangalia last seen yake ni taangu 13/01/2018 hajawahi kuja humu ndani kujibu tuhuma za Utapeli anazokabiliwa nao.

Ontario aliweza kuwateka kiakili akina Ruge Mutahaba, Maxence Mello na kundi kubwa la watu lakini amekua adimu mno taangu apige mamilioni ya vijana waliokua wanataka utajiri wa haraka bila kufanya Kazi.

Wenye whereabouts za huyu jamaa watujuze anapatikana wapi? Je TMT bado ipo na inaongozwa na Kina nani? Bila shaka vijana mnao download pesa mtakua na majibu sahihi.
 
Aje kufanya nini wakati Single yake ya Utapeli uliojificha nyuma ya Kivuli cha Forex imebuma na kuchuja?
 
Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa Kutumia Keyboard Jamii Forums watakuadhibu hasa tena kwa kuwatukana hata Wazazi wako.

Ontario nikiangalia last seen yake ni taangu 13/01/2018 hajawahi kuja humu ndani kujibu tuhuma za Utapeli anazokabiliwa nao.

Ontario aliweza kuwateka kiakili akina Ruge Mutahaba, Maxence Mello na kundi kubwa la watu lakini amekua adimu mno taangu apige mamilioni ya vijana waliokua wanataka utajiri wa haraka bila kufanya Kazi.

Wenye whereabouts za huyu jamaa watujuze anapatikana wapi? Je TMT bado ipo na inaongozwa na Kina nani? Bila shaka vijana mnao download pesa mtakua na majibu sahihi.

he he he nilitukanwa sana na watu enzi hizo nampinga huyu kijana nia yake sio nzuri.. atawatapeli

uzi ulikuwa huu wapa..

Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki - JamiiForums
 
Watu kama nyie ndio muliofanya mtu muhimu kama ONTARIO asiwepo tena humu, achana na FOREX hivi kwa akili timamu tu kuna nyuzi za ujasiriamali zenye ujazo unaomshibisha mtu kama za ONTARIO, rejerea Interview ya ONTARIO by DABY, rejerea uzi wa ONTARIO unaosema niulize chochote kuhusu ujasiriamali, rejea uzi wa jinsi nilivyoingiza 19M ndani ya mwezi. Naweza sema ONTARIO alikuwa kama neema kuwepo humu moaka leo tuka mumsakame sijawai ona nondo au nyuzi kamazile na natumaini angewepo hadi leo ningepata madini mengi kuliko hivi sasa.

Mpaka leo hakuna mtu anayeandika vitu vizito kwenye jukwaa la biashara na ijasiriamali mtu unaingia unatafuta nyuzi unaboreka tu.

ONTARIO mtu anajua vitu, anasoma vitu, anapenda jifunza vitu.

Usishangae siku zijazo jamaa akawa ni moja kati ya matajiri wakubwa Tanzania.

Nalaani Nalaani na Nitalaani.
 
Baada ya kupiga pesa za mapumbafu anakula neema saivi,yani wabongo tunapenda maisha ya kuletewa mezani mno.Niliacha kazi yenye take hom 880000 nikaingia kulima huku west Kilimanjaro Vijana wenzangu wakaona nimefeli,ndani ya miaka miwili nimefanya matusi Watu Wanasema mimi Freemason
 
Kwa nini usitoe mawazo yako jinsi ulivyofanikiwa kupitia hiko kilimo humu JF ili wengine wajifunze?
 
Watu kama nyie ndio muliofanya mtu muhimu kama ONTARIO asiwepo tena humu, achana na FOREX hivi kwa akili timamu tu kuna nyuzi za ujasiriamali zenye ujazo unaomshibisha mtu kama za ONTARIO, rejerea Interview ya ONTARIO by DABY, rejerea uzi wa ONTARIO unaosema niulize chochote kuhusu ujasiriamali, rejea uzi wa jinsi nilivyoingiza 19M ndani ya mwezi. Naweza sema ONTARIO alikuwa kama neema kuwepo humu moaka leo tuka mumsakame sijawai ona nondo au nyuzi kamazile na natumaini angewepo hadi leo ningepata madini mengi kuliko hivi sasa.

Mpaka leo hakuna mtu anayeandika vitu vizito kwenye jukwaa la biashara na ijasiriamali mtu unaingia unatafuta nyuzi unaboreka tu.

ONTARIO mtu anajua vitu, anasoma vitu, anapenda jifunza vitu.

Usishangae siku zijazo jamaa akawa ni moja kati ya matajiri wakubwa Tanzania.

Nalaani Nalaani na Nitalaani.

KWAKO WEWE SIO KWA WOTE MKUU NA NDIO MAANA UKASEMA UNGEWEZA KUPATA MADINI......
HII INAONYESHA UWEZOWAKO WEWE WAKUFIKILIA NA HAUAKISI UHALISIA WA JAMII HII YA JF KUHUSU HUYO BWANA NA HADITHI ZAKE ZA ALINICHA...
NOTE: PESA HAIPATIKANI KWA NJIA ZA MKATO HATA KIDOGO....KULA ULIWE
 
Watu kama nyie ndio muliofanya mtu muhimu kama ONTARIO asiwepo tena humu, achana na FOREX hivi kwa akili timamu tu kuna nyuzi za ujasiriamali zenye ujazo unaomshibisha mtu kama za ONTARIO, rejerea Interview ya ONTARIO by DABY, rejerea uzi wa ONTARIO unaosema niulize chochote kuhusu ujasiriamali, rejea uzi wa jinsi nilivyoingiza 19M ndani ya mwezi. Naweza sema ONTARIO alikuwa kama neema kuwepo humu moaka leo tuka mumsakame sijawai ona nondo au nyuzi kamazile na natumaini angewepo hadi leo ningepata madini mengi kuliko hivi sasa.

Mpaka leo hakuna mtu anayeandika vitu vizito kwenye jukwaa la biashara na ijasiriamali mtu unaingia unatafuta nyuzi unaboreka tu.

ONTARIO mtu anajua vitu, anasoma vitu, anapenda jifunza vitu.

Usishangae siku zijazo jamaa akawa ni moja kati ya matajiri wakubwa Tanzania.

Nalaani Nalaani na Nitalaani.
Pamoja na kuwaibia lakini bado mnamuabudu? Kweli wajinga hawawezi kuisha dunia hii!
 
Back
Top Bottom