Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari zenu,nafurahi kuwa siku hizi hivi viwanda vya kutengeneza nguo kama vitenge na kanga vinakuwa na tumeanza kukubali vitu vyetu,nawashauri watu wasiogope kuingia kwenye biashara hii ya...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Nawambiaga watu hamna biashara isiyo na faida chini ya JUA yani hakuna,ukiona umefungua biashara halafu wewe huoni faida tambua 1.umekosea location 2.unafungua kitu kile kile ambacho watu wanacho...
34 Reactions
41 Replies
6K Views
Nipe mbinu yako ya kufanya saving na unahakikisha hugusi hiyo hela mpaka utimize lengo. Kuna watu tunapata hela nyingi sana tu ktk shughuli zetu ila kuhifadhi hela ndio kimbembe Sent using Jamii...
6 Reactions
99 Replies
11K Views
Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa...
11 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello JF Member, Ni matumaini nyote mko poa kabisa, napenda niwashirikishe jambo moja ambalo najua kwa namna moja ama nyingine kuna watakaopata kitu na kupitia wachangiaji wengine kuna elimu...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu. Niende kwenye mada, nahitaji kufahamu kama ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji? Asanten!
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu poleni kwa majukumu, anaejua haya madini ni aina gani?/bei zake zikoje na wananunua kwa gramu au?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu Naombeni munisaidie mbinu zitakazoniwezesha kufanikiwa katika YouTube channel yangu. Nifanyeje ili nitimize vigezo lakini pia ili niweze kuwavutia viewers wangu . Naombeni Please
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Wana JF, Natumaini ni wazima, naomba msaada jamani, nina asali lita 8 nmetoa Tabora. Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3, sasa naona nimekosa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sijui kama kibongo bongo kuna mtu ameshawahi kuwaza hii. Leo nimekaa nimefikiri sana nikapata wazo na kuja na hii project niliyoipa jina la Fruit Garden (bustani ya matunda),sema tu pesa sina...
14 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia watu wanasema flani dukani kwake au kwenye biashara yake ana Accountant. Tena kwenye mikoa yetu huku mtu akiwa na Accountant anaonekana wa ajabu.Yaani anaonekana Sonko flani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana JF wenzangu. Nimekua na wazo la kuanzisha kampuni ya usafi Dar-es-salaam, naomba muongozo kwa anaefahamu. (1) vibali. (2) upatkanaji wa mashine/vifaa. (3) changamoto. (4) fursa...
1 Reactions
21 Replies
19K Views
Habarini wana jamvi, kwenye maswala ya stock markets kuna vitu kadhaa nahitaji kujua maana zao, vitu vyenyewe ni : 1. ETFs (exchange traded funds) 2. Mutual funds 3. IQ options So please kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAKUU, mimi ni kijana nnaye miliki hardware mtaan kwetu,ni miaka mitatu tangu nifungue biashara yangu .na niliwah kuisimamia biashara hii (yani kukaa mwenyewe golini kuuza na...
2 Reactions
40 Replies
16K Views
Naomba kupata budget ya kununua hiyo Gari , kuifanyia matayarisho yote kabla ya kuanza kazi, kipato unachoweza pata kwa siku au kwa mwezi. Pia Ni FUSO ipi nzuri Kati single na tandum
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba kuuliza, kwa wanao fahamu ni wapi wanauza niqab kwa bei ya jumla hapa Dar es salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, naomba wenye utaalam wa madini wanifahamishe kuwa haya ni madini aina gani?
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom