NMB VAT ya nini kwenye kudraw pesa???

NMB VAT ya nini kwenye kudraw pesa???

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?
YEFJMSarVyD0T8SYPDS8FWL7.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?View attachment 1045229

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
 
Hata wakiificha kama crdb VAT ya nini kwa wateja NMB ndiyo wanatakiwa walipe VAT kwani ndiyo wanafanya biashara bwana wateja hawana leseni ya biashara ya fedha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hapo ni Benki inalipa VAT kutoka kwenye Withdraw Fee waliyomkata mteja. Maana hiyo fee ni pato kwa benki, hivyo linastahili kukatwa VAT. Siyo mteja mteja nayelipishwa wajameni tupunguze mzuka.
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?View attachment 1045229

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeambiwa ni benki inayoongoza kutengeneza faida Tanzania....sasa ulitegemea faida hiyo inapatikana vipi?
 
Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
kwa hio kuweka vitu wazi n uchonganish......???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nan kasema wanalipia kupitia account yako....hio ni receipt tu mzee

Kwanini hautaki kumwelewa cheguevara au kusoma kwa makini anachokisema?
Hiyo sio receipt, ni bank statement. Hayo ni makato aliyokatwa kwenye akaunti yake.

Kweli wengi wetu ni wasahaulifu. Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuna wakati bungeni hili jambo lilizua mjadala mzito sana hadi ikapelekea matamko kutoka kwa mawaziri, gavana na wataalam wengine, kilichotuumiza ni ile kusema VAT, ukishataja VAT tu anaeumia ni mtumiaji wa bidhaa. Lakini lengo la ile hoja ilikua kuwatoza pesa kwenye makato watoa huduma za benki na miamala ya simu. walitaka kwenye yale makato, wachangie kodi ya kile kiasi wanachomkata mteja. Sasa walipojichanganya kusema VAT, hapo kibao kikagezwa kwa mlaji.

Hata hivyo vyovyote ambavyo wangefanya, bado watoa huduma wangeongeza tozo muathirika angebaki kuwa mwananchi wa kawaida.
 
Mkuu kwa lugha rahisi ni kwamba hakuna mfanyabiashara anayekubali hasara kirahisi, zigo la mavi anaachiwa mlaji wa mwisho.

kweli maendeleo hayana chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao NMB wanachonganisha serikali na wananchi wake; hiyo ada ya huduma wangeweza kuionyesha jumla ikujumuisha VAT mfano Badala ya withdrawa fee ya TZS 4,915.25 + VAT ya TZA 884.75 wangeonyesha Ada ya huduma TZS 5,800. CRDB wanatoza 6,000 lakini hawaonyeshi VAT na Ada kabla ya VAT peke yake.
mi nafikiri wanafanya vizuri kabisa, kwa nini watufiche kama kuna kodi nalipa kupitia kwao?!? Duuh, hii ni hatari najiuliza ni nani anatozwa kodi hapo? NMB au MTEJA?!? maana mimi kutoa fedha yangu nimefanya biashara gani?!? mwisho wa siku VAT ina utaratibu wake wa kurudishiana sijui mimi ntarudishiwaje.(VAT: Alue Added Tax) nimetoa fedha, kuna thamani gani hapo nimeongeza?!??
 
Kwanini hautaki kumwelewa cheguevara au kusoma kwa makini anachokisema?
Hiyo sio receipt, ni bank statement. Hayo ni makato aliyokatwa kwenye akaunti yake.

Kweli wengi wetu ni wasahaulifu. Kumbu kumbu zangu zinaniambia kuna wakati bungeni hili jambo lilizua mjadala mzito sana hadi ikapelekea matamko kutoka kwa mawaziri, gavana na wataalam wengine, kilichotuumiza ni ile kusema VAT, ukishataja VAT tu anaeumia ni mtumiaji wa bidhaa. Lakini lengo la ile hoja ilikua kuwatoza pesa kwenye makato watoa huduma za benki na miamala ya simu. walitaka kwenye yale makato, wachangie kodi ya kile kiasi wanachomkata mteja. Sasa walipojichanganya kusema VAT, hapo kibao kikagezwa kwa mlaji.

Hata hivyo vyovyote ambavyo wangefanya, bado watoa huduma wangeongeza tozo muathirika angebaki kuwa mwananchi wa kawaida.

watunga sheria hii nch n changamoto
 
Back
Top Bottom