moja kwa moja kwenye point........... 1 BIASHARA YA DAWA YA NGUVU ZA KIUME hii biashara utaiuza sehemu yoyote ile haiitaji ufanye uatafiti au ukanunue dawa .we nenda porini angali majani mbuzi...
Wadau nilikuwa naomba mwenye ufahamu wa namna gani ya kupata uwakala wa vinywaji vya Azam.
Utaratibu na hatua za kufata mana mimi nipo mkoa nataka nianze hiyo biashara na kuwasambazia...
Habari zenu
Kuelekea mwisho wa mwaka jitahidi kodi za ndani mbalimbali za kila mwezi na za kila robo ya mwaka kuwa umelipa au umewasilisha kwa wakati. Kodi hizo ni
1. Kodi za kila mwezi...
Unajua ujasiriamali ni Kitu pana yenye inahitaji elimu kila siku jinsi ya kui master na kujua nini ufanye na nini usifanye ili kuepuka kile watu wanaita HASARA,hamna mtu anapenda hasara kila mtu...
Nmekaa kutafakari maisha, nikapata wazo la kufanya biashara kwenye vijiji vya mbali sana. Vijiji vinavyofikika kwa ugumu na vyenye ufinyu wa huduma. Vijiji ambavyo hata huduma ya mawasiliano...
Wakuu, ngoja nianze kutiririka bila kupoteza muda.
1 • Digital marketing agency.
There so much money to be made in this area.
Kwa ufupi ni business itakayofanya vizuri kwa miaka nyingi sana...
Habari wanaJF
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikupatia laki 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe...
Habari wakuu.
Natumai mpo salama. Mimi ni kijana msharaha wangu wa mwezi 350,000/= kwa mwezi.
Nina mke na mtoto mmoja ila naona maisha ni magumu mno kipato changu cha mwezi hakinitoshelezi hata...
Tumekuwa watu wa kukata tamaa kwa haraka sana.
Kitu kidogo mtu akijaribu kufanya, akikutana na changamoto leo na kesho anakataa tamaa bila kujiongeza....
Nakushauri usome kidogo hapa Don’t Give Up...
HABARI WAKUU,
KARIBU KWENYE MADA;
UKWELI ambao pengine una kushangaza ni kuwa matajiri wengi hupenda kusimulia nyakati zao za giza. Kipindi ambacho maisha yalikuwa magumu, yenye mateso...
Mwaka wa nne huu upo Dar es Salaam (Mjini)
Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick Shigongo (Motivation Speakers)
'How to be a rich'
(Zimekupumbaza)
Huna hata Toyo ya...
Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini...
*Asema uamuzi wake haukushirikisha wizara nyingine
*Adai wadau walipaswa kupewa muda zaidi, aonya rushwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemuonya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kwa mara nyingine...
Salute once again guys, hope kila mtu yuko vizuri
Well, leo nimekuja kuanza kuelezea mada hii nilosema nitaileta hapa, sababu naamini kuna fursa kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali...
Nimepata tenda ya ujenz kuna kampuni ndogo niko nayo nahitaj mwekezaji atakaye wekeza million 60 tu ili tuweze kuanza mradi na pindi tutakapo lipwa advance payment tutarudisha hela yake kwa...
Wakuu habari kijana wenu katika pilikapilika nimebahatika kupata pesa ya China yaani yuan 1500
Shida inakuja nimezunguka benk kama 4 NMB, NBC, CRDB na AKIBA zote za KARIAKOO DSM Lakini...
Msimu mwingine wa Soko la Wazi la Mkulima Market umewadia ni 30 Agosti-2 Septemba 2017. Soko hili la wazi litafanyika kwenye Maegesho ya Magari ya Research Flats, mbele ya Jengo la Ndaki ya Kilimo...
Habari wana jamvi!
Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa.
Wadau nahitaji mwenye taarifa...
Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa...